Results for yemen translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

yemen

Swahili

yemen

Last Update: 2011-06-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

i met steven in yemen.

Swahili

nilikutana na steven nchini yemen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

restricting freedom of expression in yemen continue.

Swahili

kubana uhuru wa kujieleza katika nchi ya yemeni kunaendelea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

follow global voice's yemen coverage here.

Swahili

fuatilia habari za yemen katika global voice hapa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and global post journalist jeb boone met sofloff in yemen.

Swahili

na mwaandishi wa global post, jeb boone alikutana na sofloff nchini yemen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

@arabrevolution: watching #sudanrevolts videos reminds me of how #yemen started.

Swahili

@arabrevolution: ninavyotazama video za mapinduzi ya sudani nakumbuka namna yalivyoanza huko yemen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

another writer in yemen is facing a severe attack; slandering her and accusing her of disrespecting religion.

Swahili

mwandishi mwingine wa yemen anakabiliwa na mashambulizi makubwa; akikashifiwa na kutuhumiwa kutokuheshimu dini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the houthi's are often identified as "yemen's ansar hezbollah" inside iran.

Swahili

nchini iran, wahouthi wa yemen kwa kawaida hujulikana kwa jina la ansar hezbollah".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

sana2 al-yemen (@sanasiino), a yemeni journalist based in the uk, pointed out:

Swahili

sana2 al-yemen (@sanasiino), mwandishi wa habari wa yemeni anayeishi uingereza, alitanabaisha:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

one of the best female writers in yemen, samia al-agbhari is facing a media propaganda attack and threatened for her brave stance.

Swahili

akiwa mmoja wapo wa waandishi bora kabisa nchini yemeni, samia al-agbhari anashambuliwa mno na propaganda za vyombo vya habari na kumtishia kufuatia msimamo wake wa kishujaa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

yemen is in political limbo, without a president and government, since the houthi militias took over government institutions and the presidential palace in capital city sanaa.

Swahili

yemen iko kwenye mzozo wa kisiasa, bila kuwa na rais wala serikali, tangu waasi wa houthi kuangusha taasisi za kiserikali na kuteka ikulu kwenye mji mkuu wa sanaa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

haykal bafana (@bafana3), a yemeni lawyer based in yemen, tweeted a photo of the scene and commented:

Swahili

haykal bafana (@bafana3), mwanasheria wa ki-yemeni aishie yemen, alitwiti picha ya tukio hilo na akawa na maoni haya:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

we have tested them in the same way as we tested the dwellers of the garden (in yemen) when they swore to pluck all the fruits of the garden in the morning,

Swahili

hakika tumewajaribu hawa kama tulivyo wajaribu wale wenye shamba, walipo apa kwamba watayavuna mazao yake itakapo kuwa asubuhi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

yemeni blogger afrah nasser (@afrahnasser), who is based in sweden, challenged yemen to speak out against the execution of its citizens:

Swahili

mwanablogu wa yemeni afrah nasser (@afrahnasser), ambaye anaishi sweden, aliitaka yemen ilaani unyongaji wa kikatili uliofanywa kwa raia wake:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

@abubakrabdullah: amazing - marzouki's speech at the tunisian parliament today - i hope to see something similar in yemen one day..

Swahili

@abubakrabdullah: inafurarahisha – hotuba ya marzouki bungeni tunisia leo – natumai kuona siku moja kitu kama hicho kikitokea yemen..

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

5 #yemen men executed yesterday. #ksa https://www.facebook.com/haykal.bafana/posts/469019226511426 … pic.twitter.com/0ncwdxybhc

Swahili

wanaume watano wa ki-yemeni wamenyongwa jana. #ksa https://www.facebook.com/haykal.bafana/posts/469019226511426 … pic.twitter.com/0ncwdxybhc

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,800,489,351 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK