From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tervitage ampliatost, mu armast issandas.
salamu zangu kwa ampliato, rafiki yangu katika kuungana na bwana.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ometi ei ole naine meheta ega mees naiseta issandas.
hata hivyo, mbele ya bwana mwanamke si kitu bila mwanamume, naye mwanamume si kitu bila mwanamke.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
sest et nüüd me elame, kui teie püsite kindlasti issandas.
kwani sasa tunaishi kweli ikiwa ninyi mnasimama imara katika kuungana na bwana.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lapsed, kuulake oma vanemate sõna issandas, sest see on õige.
enyi watoto, watiini wazazi wenu kikristo maana hili ni jambo jema.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
naised, olge meestele allaheitlikud, nõnda nagu on kohus issandas.
enyi akina mama, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo bwana.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lõppeks, mu vennad, saage vägevaks issandas ja ta tugevuse jõus!
hatimaye, nawatakeni muwe imara katika kuungana na bwana na kwa msaada wa nguvu yake kuu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ajastute ettemääramise järgi, mille ta teostas kristuses jeesuses, meie issandas,
mungu alifanya jambo hilo kufuatana na azimio lake la milele ambalo amelifanya kwa njia ya kristo bwana wetu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
aga kui ma tulin troasse kuulutama kristuse evangeeliumi ja mulle oli uks avatud issandas,
nilipofika troa kuhubiri habari njema ya kristo, nilikuta mlango u wazi kwa ajili ya kazi ya bwana.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
tervitage heroodioni, minu sugulast. tervitage narkissose perekonna liikmeid, kes on issandas.
salamu zangu kwa herodiana, mwananchi mwenzangu; na kwa jamaa yote ya narkisi iliyojiunga na bwana.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ja me loodame teist issandas, et te nüüd ja ka edaspidi teete, mida me käsime.
naye bwana anatupatia tumaini kubwa juu yenu, na hatuna shaka kwamba mnafanya na mtaendelea kufanya yale tuliyowaambieni.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
aasia kogudused tervitavad teid. teid tervitavad issandas akvila ja priska ühes kogudusega nende majas.
makanisa yote ya asia yanawasalimuni. akula na priskila pamoja na watu wote wa mungu walio nyumbani mwao wanawasalimuni sana katika bwana.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
paulus ja silvaanus ja timoteos tessalooniklaste kogudusele jumalas isas ja issandas jeesuses kristuses. armu teile ja rahu!
mimi paulo, silwano na timotheo tunawaandikia ninyi jumuiya ya kanisa la thesalonike, ambao ni watu wake mungu baba, na wa bwana yesu kristo.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
aga me palume teid, vennad, tunnustada neid, kes teevad tööd teie seas ja on teie ülevaatajad issandas ning juhatavad teid,
ndugu, tunawaombeni muwastahi wale wanaofanya kazi kati yenu, wale wanaowaongoza na kuwafundisheni kuhusu maisha ya kikristo.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
aga et ka teie teaksite, kuidas minu käsi käib, siis jutustab teile kõik tühhikos, armas vend ja ustav abiline issandas,
tukiko, ndugu yetu mpenzi na mtumishi mwaminifu wa bwana, atawapeni habari zangu zote mpate kujua ninachofanya.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
sest kes on kutsutud orjana issandas, on issandas vabakslastu; samuti, kes on kutsutud vabana, on kristuse ori.
maana yeye aliyeitwa na bwana akiwa mtumwa huyo huwa mtu huru wa bwana. hali kadhalika naye aliyeitwa akiwa mtu huru, huwa mtumwa wa kristo.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
aga seda ma ütlen teie eneste kasuks, ei mitte, et köit panna teile kaela, vaid et te elaksite viisakalt ja püsiksite takistamatult issandas.
nawaambieni haya kwa faida yenu, na si kwa kuwawekeeni kizuio. nataka tu muwe na mpango unaofaa, mpate kumtumikia bwana kwa moyo na nia moja.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mitte kui orja, vaid rohkem kui orja, kui armast venda, iseäranis minule armast, kui palju enam sinule niihästi liha poolest kui issandas.
na sasa yeye si mtumwa tu, ila ni bora zaidi ya mtumwa: yeye ni ndugu yetu mpenzi. na wa maana sana kwangu mimi, na kwako atakuwa wa maana zaidi kama mtumwa na kama ndugu katika bwana.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mina loodan teist issandas, et te ei hakka teisiti mõtlema; aga kes teid teeb segaseks, peab kandma oma nuhtlust, olgu see kes tahes.
kutokana na kuungana kwetu na bwana, nina tumaini kubwa kwamba ninyi hamtakuwa na msimamo tofauti nami. tena yeyote huyo anayewavurugeni--awe nani au nani--hakika ataadhibiwa.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
eks ma ole vaba? eks ma ole apostel? eks ma ole näinud jeesust kristust, meie issandat? eks teie ole minu töö issandas?
je, mimi si mtu huru? je, mimi si mtume? je, mimi sikumwona yesu bwana wetu? je, ninyi si matokeo ya kazi yangu kwa ajili ya bwana?
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
et te võtaksite teda vastu issandas, nõnda nagu sobib pühadele, ja oleksite temale abiks kõiges, milles temal iganes teid on vaja. sest tema on abiks olnud paljudele, ka mulle enesele.
mpokeeni kwa ajili ya bwana kama iwapasavyo watu wa mungu. mpeni msaada wowote atakaohitaji kutoka kwenu, maana yeye amekuwa mwema sana kwa watu wengi na kwangu pia.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: