Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
aga nad v
wale wakulima wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ja kui nad j
walipofika mahali paitwapo golgotha, maana yake, "mahali pa fuvu la kichwa,"
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ja kui nad keset
moto ulikuwa umewashwa katikati ya ua, nao wakawa wameketi pamoja petro akiwa miongoni mwao.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
sest nad on andnud j
naweza kushuhudia kwamba walikuwa wakarimu kadiri ya nguvu zao na hata zaidi. kwa hiari yao wenyewe,
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ilmaaegu nad teenivad mind,
kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
aga kui nad tahavad midagi
ikiwa wanayo maswali ya kuuliza, wawaulize waume zao nyumbani, maana ni aibu kwa mwanamke kusema katika mikutano ya waumini.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ja rahu teed nad ei tunne;
njia ya amani hawaijui.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ja nad läkitavad tema juure m
basi, baadhi ya mafarisayo na wafuasi wa kikundi cha herode walitumwa ili wamtege yesu kwa maneno yake.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ja kui nad teda olid naernud, v
baada ya kumdhihaki, walimvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
aga kui nad teda nägid mere peal k
lakini walimwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu, wakapiga yowe.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ja nad tulid kapernauma. ja koju j
basi, walifika kafarnaumu. na alipokuwa nyumbani, aliwauliza, "mlikuwa mnajadiliana nini njiani?"
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ja nad olid unustanud leiba kaasa v
wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ent kui nad ära läksid, leidsid nad n
basi, wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama yesu alivyokuwa amewaambia; wakaandaa karamu ya pasaka.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
aga kui aednikud teda nägid, pidasid nad n
wale wakulima walipomwona tu, wakasemezana: huyu ndiye mrithi. basi, tumwue ili urithi wake uwe wetu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ja nad vedasid paadid maale ja jätsid k
basi, baada ya kuzileta zile mashua ukingoni mwa ziwa, wakaacha yote, wakamfuata.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ei nad julgenud temalt ka enam midagi küsida.
walisema hivyo kwa sababu hawakuthubutu kumwuliza tena maswali mengine.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
aga kui nad olid minemas, vaata, siis tulid m
wale wanawake walipokuwa wanakwenda zao, baadhi ya walinzi wa lile kaburi walikwenda mjini kutoa taarifa kwa makuhani wakuu juu ya mambo yote yaliyotukia.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ja kui nad jeruusalema ligi said, betfage ja betaania poole
walipokuwa wanakaribia yerusalemu walifika bethfage na bethania, karibu na mlima wa mizeituni. hapo aliwatuma wawili wa wanafunzi wake,
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ja kui nad perges olid sõna kuulutanud, läksid nad ataaliasse.
baada ya kuhubiri ule ujumbe huko perga, walikwenda atalia.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
isad, ärge ärritage oma lapsi, et nad ei läheks araks.
nanyi wazazi, msiwachukize watoto wenu, la sivyo watakata tamaa.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: