Results for année translation from French to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

année

Swahili

mwaka

Last Update: 2015-03-29
Usage Frequency: 16
Quality:

Reference: Wikipedia

French

bienvenue dans la nouvelle année

Swahili

karibu mwaka mpya mpendwa

Last Update: 2024-01-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

French

l'année commence dans le sang

Swahili

mwaka ulianza kwa mauaji

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

French

les bobs fêtent leurs 10 ans cette année.

Swahili

bobs inaadhimisha mwaka wa 10 wa kuwepo mwaka huu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

French

cette année, nous tâcherons de surmonter toutes ces erreurs.

Swahili

mwaka huu tutajaribisha kusahihisha makosa hayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

French

ce ne sera pas du foot sud-africain l'année prochaine.

Swahili

hautakuwa mpira wa afrika kusini mwaka ujao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

French

c’est l’histoire d’amour de l’année !!!

Swahili

bila shaka, hii ni hadithi ya mapenzi isiyo na kifani mwaka huu!!!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

French

mais le souvenir des péchés est renouvelé chaque année par ces sacrifices;

Swahili

lakini dhabihu hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

French

44 000 enfants décédés chaque année à madagascar (statistiques 2012).

Swahili

watoto wa madagaska na yves picq - cc-by-sa-3.0

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

French

2011 a été une année hors normes et extraordinaire pour l'information en ligne.

Swahili

2011 umekuwa mwaka usio wa kawaida katika maudhui ya mtandaoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

French

les parents de jésus allaient chaque année à jérusalem, à la fête de pâque.

Swahili

wazazi wa yesu walikuwa na desturi ya kwenda yerusalemu kila mwaka wakati wa sikukuu ya pasaka.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

French

la même année, dans le guangdong, on comptait 26 tentatives, et 21 personnes décédées.

Swahili

katika mji wa guangdong, mwaka 2008, kulikuwa na matukio 26 yaliyosababisha vifo 21.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

French

dieu merci de m'avoir donné une nouvelle année bénie 2023 et bonne année à tous

Swahili

asante mungu kunipatia mwaka mpya wenye baraka 2023 na heri ya mwaka mpya kwa watu wote

Last Update: 2022-12-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

44 000 enfants malgaches meurent chaque année par manque de soins, comment arrêter ce fléau ?

Swahili

watoto wachanga 44,000 wa madagaska hupoteza maisha kila mwaka kwa kukosa matunzo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

cette année, notre rencontre aura lieu du 6 au 7 mai 2010 à santiago (chili).

Swahili

mwaka huu mkutano wetu utafanyika mjini santiago, chile tarehe 6-7, 2010.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

il y a quelques mois, une autre jeune autochtone a été tuée et violée. elle était élève de cinquième année.

Swahili

miezi michache iliyopita, msichana mwingine alibakwa na kisha kuuliwa.alikuwa ni mwanafunzi wa darasa la tano.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

ce qui nous amène à accroître le nombre de bourses que nous accorderons cette année, quitte à en baisser légèrement le montant.

Swahili

kwakulitambua hili, tunaongeza idadi ya ufadhili tutakaoutoa mwaka huu, hata kama itapungua kidogo kuliko ilivyokuwa miaka ya nyuma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

ensemble, la diarrhée et la pneumonie entraînent chaque année le décès de près de 3,5 millions d’enfants.

Swahili

ni dhahiri kwamba, ngamia walioambukizwa hutoa virusi sio tu kupitia njia ya kupumua lakini pia kupitia kinyesi, ambayo pia ni njia kuu ya kutoa virusi kutoka kwa popo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

jusqu'en novembre de cette année, 20 jeunes filles et femmes aborigènes avaient été violées dans trois districts de la montagne.

Swahili

mpaka mwezi wa novemba mwaka jana, wasichana na wanawake 20 wazawa walibakwa katika wilaya tatu za mlimani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

depuis l'année 2003, il a œuvré pour le pardon, la réconciliation et l'unité dans la diaspora rwandaise en europe.

Swahili

tangu mwaka 2003, amekuwa akifanya kazi za kuhamasisha watu kusameheana, kuridhiana na kuungana hususana kwa raia wa nchi hiyo waishio ughaibuni barani ulaya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,800,211,514 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK