Results for attendre translation from French to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

attendre

Swahili

mtasubiri

Last Update: 2022-05-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

a quoi les egyptiens doivent-ils encore s'attendre ?

Swahili

nini mustakabali wa wamisri?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

je ne comprends pas pourquoi une personne doit attendre dix ans pour larguer sa femme infidèle.

Swahili

sielewi kwa nini mtu asubiri kwa muongo ili amtose mke wake anayetembea nje.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

tu fais attendre qui tu veux d'entre elles, et tu héberges chez toi qui tu veux.

Swahili

unaweza kuakhirisha zamu kwa umtakaye katika wao, na umsogeze umtakaye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

beaucoup de monde semble s'attendre à ce que des émeutes éclatent à l'aube.

Swahili

watu wengi wanatarajia ghasia kulipuka alfajiri.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

"vous pouvez toujours attendre !" a sèchement commenté dmitri peskov sur la dernière nouvelle du vatican.

Swahili

"haiwezekani hata kidogo!" - dmitry peskov alijibu kwa haraka habari hizo kutoka vatican.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

French

c'est pourquoi le patient amené le premier à la voiture devait attendre l'arrivée des suivants.

Swahili

kwa hiyo, mgonjwa aliyepelekwa wa kwanza hadi kwenye gari, ilimlazimu kuendelea kusubiri ili wagonjwa wengine waletwe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

ils dirent: «fais-le attendre, lui et son frère, et envoie des rassembleurs dans les villes,

Swahili

wakasema: mwache kidogo yeye na nduguye, na watume mijini wakusanyao,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

en tant que chef spirituel représentant l'espérance, il ne doit pas se borner à nous dire de continuer simplement à attendre e à espérer.

Swahili

kama kiongozi wa kiroho anayewakilisha matumaini, hatakiwi kutuambia tuendelee kungoja na kutumaini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

autre chose, nous devions attendre l'autorisation de départ de nombreux échelons de fonctionnaires pour que la voiture puisse partir pour l'hôpital.

Swahili

jambo lingine ni kuwa ilitulazimu kusubiri vibali kutoka ngazi mbalimbali kabla hatujaruhusiwa kuondoka na gari kwenda hospitali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

comme les autres habitants de jakarta qui sont habitués à 'attendre dans les embouteillages, j'ai tendance à être paniquée si les rues sont calmes et abandonnés.

Swahili

kama mkazi wa jakarta niliyozoea kukwama kwenye foleni za magari, huwa nafadhaika kama barabara zikiwa tulivu na zenye watu pungufu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

en agissant spontanément sans attendre une autorisation écrite de quelque autorité, les jeunes étudiants ont démontré leur capacité autonome à réaliser que, pour faire face à la situation, il fallait intervenir et se mobiliser.

Swahili

kwa kutenda papo hapo bila ya kusubiri ushauri wa namna bora ya kwenda mbele kutoka kwa mtu yeyote, wanafunzi walionyesha kwamba walikuwa na uwezo wao wenyewe, kwa kutambua kwamba ili kukabiliana na hali hiyo, ilikuwa ni muhimu kwao kuingilia kati na kuhamasisha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

dans certains pays, la pudeur pousse les femmes à se soulager dans les champs avant le lever du soleil ou à attendre que celui-ci se couche pour le faire, avec les risques que cela entraîne au niveau de la sécurité et de la santé.

Swahili

katika baadhi ya nchi, staha huwalazimisha wanawake kufanya shughuli zao kwenye makonde kabla ya jua kuchomoza au kujizuia mpaka mpaka baada ya jua kuzama, jambo ambalo linasababisha madhara ya kiusalama na kiafya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

bien que le scrutin en ligne ait été piraté, des milliers de titulaires du droit de vote (les résidents locaux de plus de 18 ans) ont persisté à attendre devant les bureaux de vote pour glisser leur bulletin :

Swahili

licha ya mfumo wa kupiga kura kushambuliwa na 'waiba taarifa za mtandaoni', maelfu ya wapiga kura wenye kustahili (wakazi wa jiji walio na umri wa zaidi ya miaka 18) walisisitiza kutaka kupanga mstari nje ya vituo vya kupigia kura kusubiri zamu zao:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,951,531,911 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK