Results for des mots translation from French to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

traduire des mots intraduisibles par un dessin

Swahili

maneno yasiyotafsirika yafafanuliwa kwa michoro

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

des mots comme médiocres, équipe b, et cupides bâtards, viennent de nous.

Swahili

maneno ya ukosoaji kama ‘ ya wastani/kawaida’ timu b na wanaharamu walafi yanatoka kwetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

il conclut par des mots positifs pour le débat qui a lieu en france sur le même sujet :

Swahili

anahitimisha na mtazamo chanya wa mjadala wa ufaransa:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

que monsieur le président revienne sur sa décision me parait une tentative de donner le change par des mots, de parler pour parler.

Swahili

kwa rais kubadili uamuzi wake inaonekana kwangu kama jaribio la kugeuzageuza maneno ili mradi tu mtu asikike kwamba ameongea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

la guerre des mots continue sur les réseaux sociaux. la blogosphère saoudienne ne parle que de cette vidéo de 46 secondes, disponible sur plusieurs comptes différents sur youtube.

Swahili

video hiyo ya sekunde 46, ilipandishwa na watu mbalimbali kwenye mtandao wa youtube, imekuwa ni mjadala wa siku miongoni mwa wanablogu wa ki-saudi leo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

les visages souriant qui me saluent, des gens qui m'accueillent avec des mots aimables et les bras ouverts en apprenant que j'étais péruvienne.

Swahili

nyiso za furaha zilizokuwa zikiniamkia, watu walinikaribisha kwa moyo mmoja, hadi nilipokuja kujifunza kuwa nilikuwa mtu wa peru.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

voilà je vous le dis, avec des mots très simples, naïfs peut-être, parce que j'écris ceci au milieu de la nuit et sans aucune référence.

Swahili

kwa hiyo muelewe, kwa maneno rahisi, huenda hata ya kijinga, kwa sababu ninaadika usiku wa manane na sikutumia marejeo yoyote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

depuis dakar, naomed, du blog politique du sénégal a écrit cette petite histoire satyrique, qui joue sur la ressemblance des mots mélamine, nom du produit chimique ajouté au lait contaminé, et mélanine.

Swahili

kutoka dakar, bloga naomed wa le blog politique du senegal ameandika mchezo huu mdogo wa kuigiza kuhusu dawa ijulikanayo kama "melamine," jina la hiyo dawa ambayo iliongezwa kwenye maziwa ili kudanganya ubora wa maziwa hayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

ils utilisent des nouvelles armes...terrifiantes...quand elles traversent l'air...vous l'entendez tout près de vous...ça va arriver sur moi, ça va me tuer, maintenant, maintenant, maintenant…c'est ce que vous pensez...c'est terrifiant...j'admets que je m'en fiche...je m'étais habituée aux anciennes armes...maintenant, il va falloir s'habituer à celles-là...je ne peux pas vous décrire par des mots la profondeur de cette terreur...comme une roquette projetée vers vous...et le bruit ...le bruit d'un avion dans l'air qui fonce sur vous...avec le son qui grandit au fur et à mesure qu'il s'approche...puis il passe au-dessus de nos têtes...nous sommes tous couchés par terre.

Swahili

wanatumia silaha mpya… zinatisha sana… wakati zikipita angani… utazisikia ziko karibu sana na wewe… zinakuja, zinakuja kuniua, sasa hivi… hivi ndivyo unavyofikiri… inatisha mno… nakubali kwamba sijali tena… nimeshazoea zile silaha za zamani… na sasa inanibidi nizizowee na hizi pia… siwezi kukuelezea kwa maneno ukali wa vitisho hivi… ni kama kombora linaloelekezwa kwako… na mlio wake… mlio wa ndege angani ikikuelekea… ikiongeza sauti kadri inavyokukaribia zaidi… ikesha inapita juu ya vichwa vyetu… sote tumelala chini…

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,952,014,424 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK