From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
la marche des chemises rouges
mashati mekundu wakiandamana
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
des rubans rouges, blancs et bleus montrent qui ils soutiennent.
vitambaa vyekundu, vyeupe na vya buluu kuonyesha utii wao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
les roses rouges à 50 lires syriennes gagnent comme par magie un zéro, et coutent 500 lires.
maua ya waridi yauzwayo lira 50 ghafla kimiujiza yanaongezwa sifuri mwishoni na kuwa kueguka kuwa lira 500.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
les chemises rouges considèrent le premier ministre par intérim, abhisit vejjajiva, comme étant illégitime et antidémocratique.
mashati mekundu wana mtazamo kwamba waziri mkuu wa sasa abhisit vejjajiva hana uhalali (wa kuwa madarakani) na si mwanademokrasia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
y'a même des gens qui disent que, quelques fois, les gamins deviennent rouges, rouges communistes.
kuna hata wale wengine wanaosema, katika nyakati tofauti, kwamba watoto hubadilika kuwa wekundu, wekundu kama walivyo wakomunisti.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
et dans les montagnes, il y a des sillons blancs et rouges, de couleurs différentes, et des roches excessivement noires.
na katika milima imo mistari myeupe na myekundu yenye rangi mbali mbali, na myeusi sana.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
richard barrow : ils disent que les camionnettes et les bus des chemise rouges sont arrêtés pour être fouillés aux barrages de police, ce qui les retarde
richard barrow: wanasema kuwa kuwa magari ya mizigo na mabasi mengi ya #mashatimekundu yamekuwa yakisimamishwa na kukaguliwa katika vizingiti vya polisi jambo ambalo linawachelewesha mamia ya picha za mashati mekundu zinapatikana kwenye mtandao kwa hisani ya richard barrow.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
les patients présentent un nombre normal ou réduit de globules blancs périphériques (notamment de lymphocytes) dans les premiers stades.
wagonjwa wana idadi ya kawaida au iliyopungua ya seli nyeupe za damu za pembeni (hasa lymphocytes) katika awamu ya awali.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
les chemises rouges ont promis de ne pas recourir à la violence lors de leurs rassemblements, mais cette vidéo mise en ligne sur youtube montre une altercation entre une chemise rouge et un automobiliste.
mashati mekundu wameahidi kutotumia vurugu katika maandamano hayo lakini video hii ya youtube inaonyesha ugomvi baina ya mtu mwenye shati jekundu na dereva mmoja.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
les chemises rouges ont prévu d'organiser une " marche d'un million de personnes " dimanche 14 mars afin de renverser le gouvernement actuel.
mashati mekundu wanapanga kufanya maandamano ya watu milioni moja mnamo machi 14, jumapili, ili kuipindua serikali iliyo madarakani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
beaucoup de chemises rouges sont des partisans de l'ancien premier ministre déchu thaksin shinawatra mais tous n'apprécient pas le dirigeant en fuite, qui a récemment été déclaré coupable de corruption par la justice.
wengi katika kundi la mashati mekundu ni mashabiki wa wazairi mkuu aliyetolewa thaksin shinawatra lakini siyo wote wanaomshabikia kiongozi huyo mtoro ambaye hivi karibuni mahakama iliamua kuwa ana hatia ya rushwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a l'occasion de rites funéraires offerts par le roi de thaïlande, des manifestants de l'opposition, les chemises rouges (qui pour la plupart soutenaient samak), ont hué les représentants du gouvernement qui assistaient à la cérémonie.
wakati wa mazishi hayo yaliyodhaminiwa na familia ya kifalme, wapinzani wa serikali wa mashati ya mekundu (wengi walikuwa wafuasi wa samak) nje ya hekalu waliwazomea maafisa wa serikali waliohudhuria desturi hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: