Results for hiver translation from French to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

priez pour que ces choses n`arrivent pas en hiver.

Swahili

ombeni ili mambo hayo yasitukie nyakati za baridi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

de leur pacte [concernant] les voyages d'hiver et d'été.

Swahili

kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

on célébrait à jérusalem la fête de la dédicace. c`était l`hiver.

Swahili

huko yerusalemu kulikuwa na sikukuu ya kutabaruku. wakati huo ulikuwa wa baridi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

priez pour que votre fuite n`arrive pas en hiver, ni un jour de sabbat.

Swahili

ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe siku za baridi au siku ya sabato!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

les quatre coronavirus modérés ont une incidence saisonnière et apparaissent au cours des mois d’hiver dans les climats tempérés.

Swahili

virusi vinne kali vya korona hutokea wakati wa msimu wa baridi katika hali ya hewa ya wastani.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

French

affiche de l'unicef pour les enfants syriens durant l'hiver dans une station du métro de londres en décembre 2012.

Swahili

tangazo la hali ya hatari ya baridi kwa watoto wa syria liliowekwa na unicef mnano mwezi desemba 2012 katika njia ya treni ya chini kwa chini jijini london.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

tâche de venir avant l`hiver. eubulus, pudens, linus, claudia, et tous les frères te saluent.

Swahili

fanya bidii kuja kabla ya majira ya baridi. ebulo, pude, lino na klaudia wanakusalimu; vilevile ndugu wengine wote.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le hcov-229e et le hcov-oc43 sont tous les deux présents partout dans le monde et semblent se transmettre essentiellement en hiver, dans les pays à climat tempéré.

Swahili

gavana wa ohio, mike dewine alitangaza kuwa jimbo hilo liliongeza muda wa agizo la watu kukaa nyumbani hadi tarehe 1 mei.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

French

en faisant un don à save the children pour fournir des vêtements chauds, des chaussures et des couvertures aux enfants et offrir des dispositifs d'aide pour l'hiver spécialement conçus pour les nourrissons.

Swahili

changia ili usaidie watoto kupata mavazi, viatu na mablanketi kwa watoto, toa msaada kwa vitu muhimu vitakavyowasaidia watoto wakati wa baridi, hususani kwa ajili ya watoto wachanga.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

À valence, en espagne, des lycéens ont décidé de protester contre les coupes du budget qui affectent leurs écoles, les obligeant à emporter des couvertures avec eux à cause du manque de chauffage, pendant cet hiver qui a été particulièrement froid partout en europe.

Swahili

mjini valencia, wanafunzi wameamua kuandamana kupinga kupungua kwa bajeti kwa kuwa kunaathiri shule zao. imefika mahali wanalazimika kwenda na mablanketi kwa sababu ya kukosekana kwa vipasha joto, katika msimu huu wa baridi kali barani ulaya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

des enfants syriens en situation de crise : un hiver rigoureux qui aggrave la souffrance. source: save the children dans de telles conditions, les enfants n'ont pas les ressources nécessaires pour grandir et se développer.

Swahili

watoto wa syria katika mahangaiko, mbali na vita, pia wanakabiliana na baridi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,736,207 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK