From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
la circoncision est utile, si tu mets en pratique la loi; mais si tu transgresses la loi, ta circoncision devient incirconcision.
kutahiriwa kwako kutakuwa na maana kama ukiitii sheria. lakini kama unaivunja sheria, basi, ni afadhali ungalibaki bila kutahiriwa.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
si donc l`incirconcis observe les ordonnances de la loi, son incirconcision ne sera-t-elle pas tenue pour circoncision?
kama mtu wa mataifa mengine ambaye hakutahiriwa akitimiza matakwa ya sheria, hakika atafikiriwa kana kwamba ametahiriwa.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
la circoncision n`est rien, et l`incirconcision n`est rien, mais l`observation des commandements de dieu est tout.
maana kutahiriwa au kutotahiriwa si kitu; kilicho muhimu ni kuzishika amri za mungu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
vous qui étiez morts par vos offenses et par l`incirconcision de votre chair, il vous a rendus à la vie avec lui, en nous faisant grâce pour toutes nos offenses;
wakati mmoja nanyi mlikuwa mmekufa kwa sababu ya makosa yenu na kwa sababu ninyi mlikuwa watu wa mataifa mengine. lakini mungu amewapa ninyi uzima pamoja na kristo. mungu ametusamehe dhambi zetu zote;
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: