Results for internautes translation from French to Swahili

French

Translate

internautes

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

iran : huit internautes arrêtés

Swahili

iran:raia wa mtandaoni wanane wakamatwa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

cependant, certains internautes restent perplexes.

Swahili

hata hivyo, baadhi wana-mtandao bado wana maswali yasiyojibiwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

sur twitter, des internautes ont exprimé leur indignation.

Swahili

kwenye mtandao wa twita, raia wa mtandaoni walipokea habari hizi kwa mshtuko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

d'autres internautes ont ironisé sur la neige.

Swahili

wanamtandao wengine wameanza utani kuhusu barafu hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

de nombreux internautes y ont vu une occasion à célébrer.

Swahili

wanablogu wengi wameliona tukio hilo kama sababu ya kusherehekea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

d'autres internautes, cependant, approuvent ce jugement :

Swahili

wengine, hata hivyo, waliunga mkono hukumu hiyo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

de nombreux internautes semblent perplexes et nettement mécontents de la nouvelle.

Swahili

katika mtandao wa kijamii wa facebook, mina labib auliza :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

de nombreux internautes se sont joints à la lutte contre la corruption:

Swahili

wanamtandao wengi walichangia juu ya vita dhidi ya ufisadi:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

les internautes ont exprimé leur choc à la fois devant le meurtre et la brutalité policière

Swahili

watu wameonyesha kushangaa vyote viwili, mauaji na ukatili wa polisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

de nombreux internautes abordent les aspects moraux et éthiques de l'avortement.

Swahili

watumiaji wengi wa mtandao walizungumzia utoaji wa mimba wakihusisha na kanuni na taratibu za kimaadili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

les internautes ont pour la plupart accueilli cette proposition avec beaucoup d'ironie.

Swahili

kwenye wavuti, tangazo hilo limepokelewa na watu wengi kwa kejeli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

de quelles manières les décisions des entreprises et des gouvernements touchent-elles les internautes ?

Swahili

namna gani maamuzi ya kisera ya mashirika makubwa na serikali yanawaathiri watumiaji wa intaneti?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

actuellement les internautes iraniens se demandent si rouhani sera effectivement capable d'ouvrir des verrous.

Swahili

kwa sasa, raia wa mtandaoni wa iran wanajadili kama rouhani ataweza kufungua kila kufuli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

de nombreuses autres réactions ont été publiées sur twitter, média citoyen préféré de la plupart des internautes au venezuela.

Swahili

miitikio mingine iko kwenye mtandao wa twita, jukwaa la vyombo vya kiraia linalotumiwa zaidi na wana venezuela wengi watumiao mtandao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

les internautes ivoiriens ont commenté ces événements, et voici une brève revue de quelques échanges. les détenus de la maca font peur

Swahili

jamii ya mtandaoni ya côte d'ivoire inayo maoni katika matukio hayo, na ifuatayo ni picha ya haraka ya majadiliano machache:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

sur les réseaux sociaux, les internautes expriment leur indignation devant les catastrophes à répétition qui touchent les usines de fabrication de vêtements.

Swahili

watumiaji wa mtandao wameonesha katika mitandao ya kijamii hali ya kufedheheshwa kufuatia matukio haya yanayojirudiarudia katika viwanda vya nguo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

en moins de deux heures, un site dédié, metro29.ru, a été lancé par des internautes pour couvrir les événements.

Swahili

chini ya masaa mawili tovuti ya metro29.ru iliundwa ili kupasha habari kuhusu tukio hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

certains internautes mécontents comparent avec la récente visite du pape au sri lanka, où on a pu le voir toucher et bénir les mains des croyants le long de la route.

Swahili

baadhi ya watumiaji wa mtandao wa intaneti wa ki-filipino walifananisha ziara ya hivi majuzi ya papa nchini sri lanka, ambapo alionekana akigusa na kubariki mikono ya waumini waliokuwa wamesimama barabarani kumlaki.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

comment mieux célébrer cet événement fêté par plusieurs milliards de personnes à travers le monde qu'en partageant les photos et commentaires des internautes ?

Swahili

ni namna ipi nzuri zaidi ya kusherehekea tukio hili kwa kuwashirikisha picha pamoja na mitazamo ya watumiaji wa intaneti kuhusiana na tukio hili linalosherehekewa na mabilioni ya watu duniani kote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

des internautes ont ont utilisé les médias sociaux pour en discuter, certains pour l'appuyer tandis que d'autres étaient farouchement contre.

Swahili

watu wengi wamejadili suala hili kwenye mitandao ya kijamii, wengine wakiunga mkono hatua hiyo na wengine wakiipinga vikali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,631,291,186 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK