From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
et ta langue
na ndimi yo
Last Update: 2022-03-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
et une langue et deux lèvres?
na ulimi, na midomo miwili?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
en une langue arabe très claire.
kwa ulimi wa kiarabu ulio wazi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
je veux que tu m' apprenne ta langue
nipe namba yako ya whatsapp
Last Update: 2024-09-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jetons un coup d'œil à la langue anglaise
funga kinwa
Last Update: 2023-09-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ne remue pas ta langue pour hâter sa récitation:
usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
parlez toujours votre propre langue si vous le pouvez.
zungumza lugha yako kama unaweza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
une langue en péril dans le monde disparaît tous les 10 à 14 jours.
moja wapo ya lugha zinazopotea kwenye sura ya dunia hufa kila baada ya siku 10 hadi 14.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
l'éducation doit être dispensée dans une langue comprise par l'utilisateur.
elimu inapaswa itolewe kwa lugha inayoeleweka kwa mtumiaji.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
des blogueurs gaéliques partagent des astuces sur l'emploi de la langue irlandaise.
wanablogu wa gaeli wanatupa dondoo kuhusu matumizi ya lugha ya airishi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
car si je prie en langue, mon esprit est en prière, mais mon intelligence demeure stérile.
maana, nikisali kwa lugha ngeni roho yangu ndiyo inayosali, lakini akili yangu hubaki bure.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kadyrov prend la parole en langue tchétchène tout en les désignant d'un geste accusateur.
akiongea kwa lugha ya kichechnia, kadyrov anawatambulisha watu hao huku akiwa na taswara mbaya dhidi yao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
europe la langue sàmi, du nord de la norvège, a été programmée sous forme de dictionnaires téléchargeables.
ulaya lugha ya norwey kaskazini sàmi imewekwa kwenye mfumo rahisi wa kamusi ya kupakuliwa mtandaoni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
utiliser les réseaux et les sites web pour faciliter l'acquisition de connaissances et la connaissance de la langue française
kutumia mitandao na tovuti kurahisisha kupata ujuzi na maarifa ya lugha ya kifaransa
Last Update: 2022-05-19
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwame aboagye estime qu'il est temps pour les africains de s'exprimer dans leur langue :
kwame aboagye alisema ni wakati sasa wa-afrika watumie lugha zao wenyewe:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
c'est pourquoi notre politique concernant la langue d'enseignement doit promouvoir le multilinguisme et non le monolinguisme.
hii ndiyo sababu sera yetu ya lugha ya kufundishia inatakiwa kukuza matumizi ya lugha zaidi ya moja, na sio kutumia lugha moja tu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
des étudiants de manx, langue indigène de l'île de man, utilisent une application pour smartphone et tablette pour se perfectionner.
wanafunzi wa manx, lugha ya wenyeji wa kisiwa cha man, wanatumia visaidizi (apps) za simu za kisasa kuboresha ufanisi wao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
la langue est née du galicien-portugais au moyen-age, et elle était parlée dans tout le comté de portucale.
lugha hiyo asili yake ni ki-galisia na kireno cha zama za kale, na ilikuwa ikizungumzwa katika jimbo lote la portucale
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
les articles peuvent être déposés en toute langue disposant d'un site actif (régulièrement alimenté) dans global voices.
insha zinaweza kutumwa kwa lugha yoyote kwenye tovuti hai za global voices.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ajouter le hashtag #motherlanguage ajouter le hashtag de la langue (par exemple #lakota, #yoruba)
ongeza alama habari #motherlanguage ongeza alama habari ya lugha husika (mfano #kichaga, #kisukuma)
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: