Results for prénom translation from French to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

la signification du prénom gilbert

Swahili

maana ya jina la gilbert

Last Update: 2023-01-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

pour ma part, je mets les deux premiers mots de mon nom comme prénom et le dernier mot comme nom de famille.

Swahili

kwa upande wangu, huwa ninajaza maneno mawili ya kwanza kutoka katika jina langu kama jina la kwanza na neno la mwisho kama jina la ukoo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

le prénom kami est dérivé du mot tswana "kamogelo," qui signifie "acceptation."

Swahili

jina la kami linatoka kwenye neno la kisetswana “kamogelo”, lenye maana ya “kukubalika.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

French

et d'expliquer comment les natifs de birmanie remplissent les formulaires où doivent figurer à la fois le nom et le prénom:

Swahili

na anaeleza namna ambavyo watu wa myanmar wanavyojaza fomu zinazohitaji majina yote, yaani jina la kwanza na la ukoo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

ils emploient mon "prénom" mais cela me semble bizarre de me faire appeler par un nom que je n'ai jamais entendu avant.

Swahili

wangeweza kuniita jina langu la kwanza, lakini ningeona kama maajabu kama ningekuwa naitwa kwa jina ambalo sikuwahi kulisikia kamwe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

French

... prendre le football, sport anglais, ajouter un gnome publicitaire aux yeux brillants et au nez poudré, une grande entreprise de liqueurs voulant accroître son marché, ajoutez un type blanc prénommé van schalkwyk doté d’une moralité élastique et d'une usine de matière plastique et qu’obtenez-vous ?

Swahili

…chukua mchezo kutoka uingereza unaoitwa kandanda, chukua kamasi ya kinyago chenye macho yanayong'ara na pua yenye unga ya mfanyabiashara wa kutangaza bidhaa, pamoja na wabia wa makampuni ya pombe ambao wanataka kuongeza hisa kwenye soko la biashara, muongeze jamaa aitwaye van schalkwyk mwenye ile akili-ya-kuhepa uchanganye na kiwanda cha plastiki, unajua unapata nini?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,642,298,465 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK