Results for soi disant translation from French to Swahili

French

Translate

soi disant

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

silence des soi-disant "démocrates" ?

Swahili

kimya cha wanaojiita "wanademokrasia"?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

il m’a donc fait faire un premier tour, soi-disant pour mon apprentissage.

Swahili

watu wengi sana hawakuamini kwamba mzungu angeweza kushughulikia kazi za aina ile nchini humu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

nos soi-disant dirigeants ne sont pas tombés de l'enfer, ils sont en fait le reflet de notre société.

Swahili

hawa wanaoitwa viongozi wetu hawakushuka kutoka kuzimu, lakini wanaakisi jamii yetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

comme tous les autres candidats, il défend son propre programme et fait des promesses sur lesquelles les électeurs se sont - soi-disant - basés pour voter.

Swahili

morsi wa chama cha muslim brotherhood, amekuwa raisi wa kwanza wa misri kuchaguliwa kwa uchaguzi huru, na kama ilivyo kwa wagombea wengine wote, alikuwa na mikakati yake na ahadi ambazo wapiga kura walizikubali na kuamua kumchagua.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

alef relève plusieurs erreurs grammaticales dans le soi-disant certificat d'oxford, notamment dans l'expression "to be benefitted from its scientific privileges".

Swahili

alef inaonyesha makosa kadhaa ya kiuandishi yaliyojitokeza kwenye cheti hicho kinachodaiwa kuwa cha oxford, kwa mfano, “to be benefitted from its scientific privileges”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

le soi-disant etat islamique, un avatar d'al qaida, est arrivé en quelques mois à occuper de vastes pans de syrie et d'irak, en semant horreurs et destruction.

Swahili

kundi la isis, ambalo ni tawi la al qaeda limedhibiti sehemu kubwa ya syria na iraq, na kusababisha taharuki kubwa na kusababisha uharibifu mkubwa ndani ya kipindi cha miezi michache.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

pourquoi donc ne les secourent pas, ceux qu'ils avaient pris, en dehors d'allah, comme divinités pour [soi-disant] les rapprocher de lui?

Swahili

basi mbona wale walio washika badala ya mwenyezi mungu, kuwa ati hao ndio wawakurubishe, hawakuwanusuru?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

d’autre part je pense que israel étant un pays « occidental » dans le sens ou israel fait partie du « monde libre » (dixit livni), les francais peuvent s’identifier aux israeliens, et le fait qu’un pays soi disant civilisé, une démocratie comme la notre, avec des gens qui on le meme mode de vie que nous, le meme genre de société, puisse se conduire d’une maniere si barbare, heurte certainement les esprits des gens.

Swahili

kwa upande mwingine, nafikiri kwamba kwa kuwa israeli ni nchi mojawapo ya "magharibi" kwa maana kwamba israeli ni sehemu ya "dunia huru" (kama anavyosema livni), watu wa ufaransa wanajifananisha na waisraeli, na kutokana na ukweli kwamba inatambulika kama nchi iliyostaarabika, na ina demokrasi sawa na yetu, na yenye watu wenye tabia na taratibu za maisha kama zetu, pamoja na jamii zinazoshabihiana, nchi kama hiyo inapofanya vitendo vya kikatili kama hivi, huwa tunatikisika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,877,205,263 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK