Results for statistiques translation from French to Swahili

French

Translate

statistiques

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

vies, pas statistiques.

Swahili

marehemu hawa ni binadamu, sio takwimu tu

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le rapport met en évidence quelques statistiques importantes :

Swahili

ripoti hiyo inaangazia takwimu chache muhimu :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

44 000 enfants décédés chaque année à madagascar (statistiques 2012).

Swahili

watoto wa madagaska na yves picq - cc-by-sa-3.0

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

@reclvse a écrit qu'il s'agit de vies et non de statistiques :

Swahili

@reclvse aliandika kwamba hatua hii inahusiana na na uhai wa binadamu na sio tarakimu:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

ce graphique extrait du même rapport présente les statistiques des violences qu'elles subissent :

Swahili

kielelezo hiki kimechukuliwa kutoka kwenye ripoti iliyotajwa hapo juu, inayoonyesha takwimu za ukatili wanaofanyiwa wasichana wa mitaani:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

ces statistiques ne sont pas limitées dans le temps et suivent une population spécifique de la contamination au terme de la maladie.

Swahili

takwimu hizi hazifungiwi na kigezo cha muda na zinafuata idadi mahususi ya watu kuanzia tukio la maambukizi hadi kutatuliwa kwa kisa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

French

des statistiques indiquent que deux enlèvements environ ont lieu chaque jour au mexique, et particulièrement dans les états de la frontière nord.

Swahili

takwimu kadhaa zinaonyesha kuwa utekaji unatokea kwa takriban mara 2 kwa siku na hasa katika majimbo ya mpakani kaskazini mwa nchi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

pour le moment les bilans des victimes du tremblement de terre de haïti se sont concentrés sur les statistiques effroyables, mais très peu de noms apparaissent sous les chiffres.

Swahili

mpaka sasa taarifa za majeruhi wanaotokana na tetemeko la ardhi lililoikumba haiti zimejikita kwenye takwimu za kutisha, lakini ni majina machache tu ndiyo yameambatanishwa kwenye namba hizo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

hari kishore chakm, une journaliste, fournit des statistiques sur les viols des jeunes femmes aborigènes dans un article pour le quotidien prothom alo :

Swahili

mwandishi wa habari hari kishore chakma, anatoa baadhi ya takwimu zinazoonesha matukio ya kubakwa kwa wanawake wazawa katika makala ya gazeti la kila siku la prothom alo :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

depuis dix ans, le malawi enregistre un déclin de l'utilisation du port de beira au mozambique, selon les statistiques de fréquentation portuaire publiées par le port.

Swahili

katika miaka kumi iliyopita malawi imesajili kupungua sana kwa matumizi ya bandari ya beira nchini msumbiji, kwa mujibu wa takwimu za usafiri silizopatikana kutoka kwa mamlaka ya bandari hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

après 50 ans d'autonomie, il est honteux que nos statistiques économiques soient semblables à celles de pays déchirés par la guerre, dont certains sont en train de réussir mieux que nous dans de nombreux domaines.

Swahili

baada ya miaka 50 ya kujitawala, ni aibu kuwa takwimu za uchumi wetu zinafanana na zile za nchi zenye machafuko vya vita, na nyingine zinafanya vizuri kuliko sisi katika maeneo mengi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

alors que les assaillants font les gros titres et leurs noms vivront à jamais, leurs victimes sont oubliées comme une simple statistique. #147notjustanumber

Swahili

magaidi wanapoandikwa sana na majina yao yakionekana kuendelea kuwa hai, wahanga wa ugaidi wao wanasahaulika kama tarakimu tu

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,233,735 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK