From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
dieweil er sich verantwortete: ich habe weder an der juden gesetz noch an dem tempel noch am kaiser mich versündigt.
kwa kujitetea, paulo alisema, "mimi sikufanya kosa lolote kuhusu sheria ya wayahudi, wala kuhusu hekalu, wala kumhusu kaisari."
da besprach sich festus mit dem rat und antwortete: auf den kaiser hast du dich berufen, zum kaiser sollst du ziehen.
basi, baada ya festo kuzungumza na washauri wake, akamwambia paulo, "umekata rufani kwa kaisari, basi, utakwenda kwa kaisari."
agrippa aber sprach zu festus: dieser mensch hätte können losgegeben werden, wenn er sich nicht auf den kaiser berufen hätte.
naye agripa akamwambia festo, "mtu huyu angeweza kufunguliwa kama asingalikuwa amekata rufani kwa kaisari."
da aber die juden dawider redeten, ward ich genötigt, mich auf den kaiser zu berufen; nicht, als hätte ich mein volk um etwas zu verklagen.
lakini wayahudi wengine walipinga jambo hilo, nami nikalazimika kukata rufani kwa kaisari, ingawa sikuwa na chochote cha kuwashtaki wananchi wenzangu.
aber, da ich vernahm, daß er nichts getan hatte, das des todes wert sei, und er sich selber auf den kaiser berief, habe ich beschlossen, ihn zu senden.
lakini mimi sikuona kuwa alikuwa ametenda chochote kibaya hata astahili kupewa adhabu ya kifo. lakini, kwa vile paulo mwenyewe alikata rufani kwa kaisari, niliamua kumpeleka.
sie sprachen zu ihm: des kaisers. da sprach er zu ihnen: so gebet dem kaiser, was des kaisers ist, und gott, was gottes ist!
wakamjibu, "ni vya kaisari." hapo yesu akawaambia, "basi, mpeni kaisari yaliyo yake kaisari, na mungu yaliyo yake mungu."
und sprach: fürchte dich nicht, paulus! du mußt vor den kaiser gestellt werden; und siehe, gott hat dir geschenkt alle, die mit dir schiffen.
akaniambia: paulo usiogope! ni lazima utasimama mbele ya kaisari; naye mungu, kwa wema wake, amekufadhili kwa kuwaokoa wote wanaosafiri nawe wasiangamie.
habe ich aber jemand leid getan und des todes wert gehandelt, so weigere ich mich nicht, zu sterben; ist aber der keines nicht, dessen sie mich verklagen, so kann mich ihnen niemand übergeben. ich berufe mich auf den kaiser!
basi, ikiwa nimepatikana na kosa linalostahili adhabu ya kifo, siombi kusamehewa adhabu hiyo. lakini kama hakuna ukweli katika mashtaka waliyotoa watu hawa, hakuna awezaye kunikabidhi kwao. nakata rufani kwa kaisari!"