Results for kurz translation from German to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

German

Swahili

Info

German

dann schaute er kurz auf die sterne,

Swahili

kisha akapiga jicho kutazama nyota.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

German

nicht aber so wenn die erde kurz und klein zermalmt wird

Swahili

sivyo hivyo! itakapo vunjwa ardhi vipande vipande,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

German

es ist wie mit denen, die es kurz vor ihnen erlebten.

Swahili

ni kama mfano wa walio kuwa kabla yao hivi karibuni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

German

und dann würden sie nach dir nur kurz (heil) zurückbleiben,

Swahili

na hapo wao wasingeli bakia humo ila kwa muda mchache tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

German

gleich jenen, die kurz vor ihnen die bösen folgen ihrer handlungsweise kosteten.

Swahili

ni kama mfano wa walio kuwa kabla yao hivi karibuni. walionja uovu wa mambo yao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

German

er spricht: «ihr habt nur kurz verweilt, wenn ihr es nur wüßtet!

Swahili

atasema: nyinyi hamkukaa huko duniani ila kidogo, laiti ingeli kuwa mnajua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

German

mit diesem neuen gesetz steht das parlament kurz davor, unangemessene maßnahmen zur Überwachung internationaler kommunikation zu genehmigen.

Swahili

kwa muswada huu, bunge linakaribia kuruhusu hatua za udukuzi wa mawasiliano zisizokubalika kwa lengo la kufuatilia mawasiliano ya kimataifa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

um es kurz zu machen: alle diese serviceleistungen machen mein leben leichter, seit ich bei mpesa bin.

Swahili

kufupisha masimulizi huduma hii imefanya maisha yangu kuwa rahisi tangu nijiunge na mpesa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

ich ermahne euch aber, liebe brüder, haltet das wort der ermahnung zugute; denn ich habe euch kurz geschrieben.

Swahili

basi, ndugu, nawasihi mpokee kwa utulivu ujumbe huu wa kuwatieni moyo. hii ni barua fupi tu ambayo nimewaandikieni.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

kurz nachdem die medien erstmals über den in der ukraine erfolgten absturz des fluges mh17 von malaysian airlines berichteten, postete singapore airlines bei facebook und twitter:

Swahili

baada ya habari kufahamika kwamba ndege ya shirika la ndege la malaysia mh17 imeanguka mashariki mwa ukraine, shirika la ndege la singapore liliweka ujumbe huu kwenye mtandao wa facebook na twita:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

an dem tage, an dem er euch ruft, da werdet ihr ihm lobpreisend entgegenkommen und meinen, ihr hättet nur kurz verweilt."

Swahili

siku atakapo kuiteni, na nyinyi mkamuitikia kwa kumshukuru, na mkadhani kuwa hamkukaa ila muda mdogo tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

German

am 3. september 2015 verkündeten die gemeinnützigen internetanbieter (englisch 'internet service providers', kurz 'isps') french data network (fdn) und fdn federation (ffdn) sowie die interessenvertetung digitaler rechte, la quadrature du net, die erhebung zweier anfechtungsklagen im französischen staatsrat, gegen die Überwachungsaktivitäten des französischen auslandsgeheimdiensts, der generaldirektion für äußere sicherheit (dgse).

Swahili

mnamo septemba 3, 2015, kampuni isiyo ya kibiashara ya kutoa huduma za intaneti (isps) french data network (fdn) na shirikisho la fdn (ffdn) pamoja na makundi ya utetezi wa haki za kidijitali la quadrature du net walitangaza kuwasilishwa kwa mapingamizi mawili ya kisheria kwenye baraza la ufaransa linaloshughulikia masuala ya nchi kupinga vitendo vya udukuzi wa mawasiliano ya intaneti vinavyofanywa na mashirika ya ujasusi wa kimataifa ya ufaransa, kama vile kurugenzi kuu ya usalama wa nje (dgse).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,927,547,750 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK