From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
langsam
polepole
Last Update: 2013-09-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
die betroffenen gemeinden haben ein unglaubliches durchhaltevermögen bewiesen, viele erholen sich langsam.
jamii zilizoathirika zimeonyesha nguvu ya ajabu na wengi wanaelekea kupona.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
die aktuellen beiträge zum projekt zeigen menschen beim wiederaufbau und ein nepal, das langsam zur normalität zurückkehrt.
makala za hivi karibuni za mradi huu zinaonesha jinsi maisha nchini nepali yanavyorejea katika hali ya kawaida na namna watu wanavyojiimarisha tena.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
etliche hilfsorganisationen berichteten, obwohl sich die opfer des wirbelsturms langsam wieder erholten, gäbe es noch viele probleme.
mashirika kadhaa yalibainisha kwamba waathirika wa kimbunga wanapata nafuu pole pole lakini matatizo mengi yanaendelea.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
die fernsehkanäle waren nicht nur langsam, sondern wurden auch für ihren mangel an angebrachter haltung bei der berichterstattung des ereignisses kritisiert.
idhaa za televisheni hazikuwa tu na kasi ndogo bali poia zimeshutumiwa kwa kukosa mtazamo unaofaa katika upashaji wao habari kuhusu tukio hili.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
darum, liebe brüder, ein jeglicher mensch sei schnell, zu hören, langsam aber, zu reden, und langsam zum zorn.
ndugu zangu wapenzi, kumbukeni jambo hili! kila mtu na awe mwepesi wa kusikia lakini asiwe mwepesi wa kusema wala mwepesi wa kukasirika.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
trotz erfolgreicher bemühungen der regierung zur revitalisierung dieses bereichs geht es der französischen forschung schlecht. im vergleich zum angelsächsischen nachbarn gibt es erste anzeichen, wonach ihr so langsam die luft ausgeht.
pamoja na juhudi zinazotokana na serikali za kuhamasisha upya sekta hiyo , tafiti zinazofanyika nchini ufaransa zina hali mbaya ukilinganisha na zile za majirani zao wa nchi za ujerumani na uingereza na kwa hakika zinaonyesha dalili za kuzorota na uwezekano wa kupotea kabisa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
blogger waren unter den ersten, die über den tragischen vorfall berichteten und wurden zum einzig stabilen medium, während große nachrichtenwebsites durch den hohen datenverkehr lahmgelegt wurden und fernsehkanäle zu langsam reagierten, um rechtzeitig material bereitzustellen.
wanablogu walikuwa ni miongozni mwa watu wa kwanza kusambaza habari kuhusu tukio hilo baya, na hivyo kuwa chombo cha habari imara wakati tovuti nyingi za vyombo vikubwa vya habari viliposhindwa kutoa huduma kutokana na msululu mkubwa (wa watumiaji wa mtandao) na idhaa za televisheni zilikuwa taratibu mno katika kutayarisha maudhui katika wakati unaotakiwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
fast ein drittel der länder der region steigern ihr wachstum sogar um sechs prozent oder mehr und afrikanische länder sind fast schon selbstverständlich unter den am schnellsten wachsenden der welt. stellt der bericht heraus, dass das weiterbestehen von armut und ungleichheit “unannehmbar hoch und die geschwindigkeit der bekämpfung dessen unannehmbar langsam verlaufen.”
takribani theluthi ya nchi zilizo kwenye eneo hilo zina uchumi unaokua kwa asilimia 6 na zaidi, na nchi za afrika hivi sasa zimekuwa kati ya nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi duniani inabainisha kuwa umasikini na hali ya kutokuwepo usawa vinabaki kuwa “juu isipokubalika wakati kasi ya kupungua pengo hilo ni dogo mno.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: