From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
das volk aber, das mit ihm war, da er lazarus aus dem grabe rief und von den toten auferweckte, rühmte die tat.
kundi la watu wale waliokuwa pamoja naye wakati alipomwita lazaro kutoka kaburini, akamfufua kutoka wafu, walisema yaliyotukia.
als er nun in der hölle und in der qual war, hob er seine augen auf und sah abraham von ferne und lazarus in seinem schoß.
huyo tajiri, alikuwa na mateso makali huko kuzimu, akainua macho yake, akamwona abrahamu kwa mbali na lazaro karibu naye.
daselbst machten sie ihm ein abendmahl, und martha diente; lazarus aber war deren einer, die mit ihm zu tische saßen.
huko walimwandalia chakula cha jioni, naye martha akawa anawatumikia. lazaro alikuwa mmoja wa wale waliokuwa mezani pamoja na yesu.
solches sagte er, und darnach spricht er zu ihnen: lazarus, unser freund, schläft; aber ich gehe hin, daß ich ihn auferwecke.
yesu alipomaliza kusema maneno hayo, akawaambia, "rafiki yetu lazaro amelala, lakini mimi nitakwenda kumwamsha."
da erfuhr viel volks der juden, daß er daselbst war; und sie kamen nicht um jesu willen allein, sondern daß sie auch lazarus sähen, welchen er von den toten auferweckt hatte.
wayahudi wengi walisikia kwamba yesu alikuwa bethania. basi, wakafika huko si tu kwa ajili ya kumwona yesu, ila pia wapate kumwona lazaro ambaye yesu alimfufua kutoka wafu.
(maria aber war, die den herrn gesalbt hat mit salbe und seine füße getrocknet mit ihrem haar; deren bruder, lazarus, war krank.)
maria ndiye yule aliyempaka bwana marashi na kumpangusa kwa nywele zake. lazaro, kaka yake, ndiye aliyekuwa mgonjwa.)
abraham aber sprach: gedenke, sohn, daß du dein gutes empfangen hast in deinem leben, und lazarus dagegen hat böses empfangen; nun aber wird er getröstet, und du wirst gepeinigt.
lakini abrahamu akamjibu: kumbuka mwanangu, kwamba ulipokea mema yako katika maisha, naye lazaro akapokea mabaya. sasa lakini, yeye anatulizwa, nawe unateswa.