Results for meinungsfreiheit translation from German to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

German

Swahili

Info

German

meinungsfreiheit

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

German

Swahili

Info

German

meinungsfreiheit ist in algerien mit gefahren verbunden.

Swahili

uhuru wa maoni uko shakani algeria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

global-voices-gemeinschaft steht hinter marokkanischen aktivisten für meinungsfreiheit

Swahili

global voices yashikamana na watetezi wa uhuru wa kujieleza nchini morocco

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

selbst im interesse der gesellschaft wäre ich nicht dazu bereit, das grundrecht der meinungsfreiheit aufzugeben.

Swahili

sitakubaliana na yeyote yule hata kama akiwa ni mwanasiasa, mtu binafsi, taasisi hata na jamii inayotaka kunipokonya haki yangu ya kujieleza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

wir leben in einer welt, wo einige dazu neigen, die ausübung der meinungsfreiheit als einen akt des terrors zu betrachten.

Swahili

tunaishi kwenye ulimwengu ambao kuna baadhi ya watu wanaouchora uhuru wa kujieleza kama kitendo cha ugaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

ich bin mir mehr als nur sicher, dass er seine meinungsfreiheit weiterhin verteidigen wird; wenn es sein muss, bis zum ende seiner tage.

Swahili

nina uhakika zaidi ya asilimia mia kuwa ataendelea kutetea haki yake hadi mwisho wa maisha yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

für die proteste gibt es zahlreiche gründe: endemische armut, schlechte regierungsführung und eingeschränkte meinungsfreiheit zählen zu den größten klagen der nigrischen zivilgesellschaft.

Swahili

kuna ababu nyingi za maandamano hayo: umaskini uliokithiri, utawala mbovu na kubanwa kwa uhuru wa kujieleza yakiwa ni moja wapo ya malalamiko ya asasi za kiraia nchini humo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

die global-voices-gemeinschaft fordert gerechtigkeit für sieben aktivisten für meinungsfreiheit, die in marokko wegen ihres einsatzes angeklagt sind.

Swahili

jumuia ya global voices yataka haki kutendeka kwa watetezi saba wa uhuru wa kujieleza walioshitakiwa kutokana na wajibu wao wa utetezi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

als eine gemeinschaft von bloggern und aktivisten aus über 160 ländern, berufen wir uns täglich auf das universelle recht auf meinungsfreiheit, während wir geschichten aus unterrepräsentierten gemeinden aus aller welt veröffentlichen.

Swahili

kama jumuia ya wanablogu na wanaharakati kutoka nchi zaidi ya 160, kila uchao tunatetea na kusihi haki ya msingi ya binadamu ya uhuru wa kujieleza, kwani tumekuwa tukiandika na kusambaza habari kutoka kwenye jamii ya watu wasioweza kusikika na wala kusikilizwa kwa urahisi kutoka ulimwenguni kote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

wenn die medien und die öffentliche meinung zu diesem verstoß gegen die meinungsfreiheit und der verletzung von bürgerrechten schweigen, kann schon morgen jedes gericht einen journalisten für die kritik am präsidenten der republik, einem armeefunktionär, einem minister oder einem stellvertretenden minister verurteilen.

Swahili

kama vyombo vya habari na maoni huru ya watu yanabaki kimya kulaani uvunjifu huu wa uhuru wa kujieleza na uvunjifu wa haki za binadamu, basi kesho mahakama yoyote inaweza kumshitaki mwandishi kwa kumkosoa rais wa jamuhuri, au afisa wa jeshi, waziri au hata naibu waziri.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

2013 arbeiteten edom, befeqadu, zelalem und ich für eine reportage über die meinungsfreiheit in Äthiopien zusammen. später ist unsere arbeit bei den vereinten nationen eingereicht und von der un-menschenrechtskommission in ihrer universal periodic review veröffentlicht worden.

Swahili

mwaka 2013, edom, befeqadu, zelalem pamoja na mimi tulifanya kazi ya pamoja ya kuandaa taarifa ya hali ya uhuru wa kujieleza nchini ethiopia ambayo baadae iliwasilishwa kwenye tume ya umoja wa mataifa ya haki za bidamu kwa ajili ya mapitio yao ya jumla ya mara kwa mara.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

nicht nur atnafs zukunft wird verhandelt, sondern die aller junger menschen, die es wagen, eine repressive regierung wegen ihrer haltung gegenüber der meinungsfreiheit zu kritisieren. wir haben ein eigenes dossier, in dem weitere informationen und deutschsprachige berichte zu den zone9-bloggern zu finden sind.

Swahili

siyo tu mustakabali wa atnaf unaowekwa rehani, bali pia ni kwa kila kijana mwenye ari na aliyenuia kuiwajibisha serikali kandamizi kwenye uhuru wa kujieleza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,779,150,644 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK