Results for wollust translation from German to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

German

Swahili

Info

German

wollust

Swahili

uzinifu

Last Update: 2014-02-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

German

verräter, frevler, aufgeblasen, die mehr lieben wollust denn gott,

Swahili

watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda mungu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

German

ihr habt wohlgelebt auf erden und eure wollust gehabt und eure herzen geweidet am schlachttag.

Swahili

mmeishi duniani maisha ya kujifurahisha na ya anasa. mmejinenepesha tayari kwa siku ya kuchinjwa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

German

das aber unter die dornen fiel, sind die, so es hören und gehen hin unter den sorgen, reichtum und wollust dieses lebens und ersticken und bringen keine frucht.

Swahili

zile zilizoanguka kwenye miti ya miiba ni watu wale wanaosikia lile neno, lakini muda si muda, wanapokwenda zao, husongwa na wasiwasi, mali na anasa za maisha, na hawazai matunda yakakomaa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

German

denn von dem wein des zorns ihrer hurerei haben alle heiden getrunken, und die könige auf erden haben mit ihr hurerei getrieben, und die kaufleute auf erden sind reich geworden von ihrer großen wollust.

Swahili

maana mataifa yote yalileweshwa kwa divai kali ya uzinzi wake, nao wafalme wa dunia wamefanya uzinzi naye. nao wafanyabiashara wa dunia wametajirika kutokana na anasa zake zisizo na kipimo."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

German

denn wir waren weiland auch unweise, ungehorsam, verirrt, dienend den begierden und mancherlei wollüsten, und wandelten in bosheit und neid, waren verhaßt und haßten uns untereinander.

Swahili

maana, wakati mmoja sisi tulikuwa wapumbavu, wakaidi na wapotovu. tulikuwa watumwa wa tamaa na anasa za kila aina. tuliishi maisha ya uovu na wivu; watu walituchukia nasi tukawachukia.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,762,973,974 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK