From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
venne fra la sua gente, ma i suoi non l'hanno accolto
alikuja katika nchi yake mwenyewe, nao walio wake hawakumpokea.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
al suo ritorno, gesù fu accolto dalla folla, poiché tutti erano in attesa di lui
yesu aliporudi upande mwingine wa ziwa, kundi la watu lilimkaribisha, kwa maana wote walikuwa wanamngojea.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
quando qadri veniva portato al processo, i suoi sostenitori lo hanno accolto con petali di rose.
qadri alipokuwa anaenda kusomewa mashitaka yake, wafuasi wake walionekana wakimtupia mau waridi..
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
per fede raab, la prostituta, non perì con gl'increduli, avendo accolto con benevolenza gli esploratori
kwa imani rahabu aliyekuwa malaya hakuangamia pamoja na wale waliomwasi mungu, kwa sababu aliwakaribisha wale wapelelezi.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
gli apostoli e i fratelli che stavano nella giudea vennero a sapere che anche i pagani avevano accolto la parola di dio
mitume na ndugu kule yudea walisikia kwamba watu wa mataifa mengine pia walikuwa wamelipokea neno la mungu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
e il suo affetto per voi è cresciuto, ricordando come tutti gli avete obbedito e come lo avete accolto con timore e trepidazione
hivyo upendo wake wa moyo kwenu unaongezeka zaidi akikumbuka jinsi ninyi nyote mlivyo tayari kutii, na jinsi mlivyomkaribisha kwa hofu nyingi na kutetemeka.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
i cittadini sudafricani hanno accolto l'appello a dedicare 67 minuti della loro giornata a migliorare la vita dei concittadini.
raia wa afrika ya kusini nao wameitikia wito wa kutumia dakika 67 za siku yao ili kukuza ubora wa maisha nchini humo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a quanti però l'hanno accolto, ha dato potere di diventare figli di dio: a quelli che credono nel suo nome
lakini wale wote waliompokea na kumwamini, hao aliwapa uwezo wa kuwa watoto wa mungu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
ricorda dunque come hai accolto la parola, osservala e ravvediti, perché se non sarai vigilante, verrò come un ladro senza che tu sappia in quale ora io verrò da te
kumbuka, basi, yale uliyofundishwa na jinsi ulivyoyasikia, uyatii na ubadili nia yako mbaya. usipokesha nitakujia ghafla kama mwizi, na wala hutaijua saa nitakapokujia.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
e quella che nella mia carne era per voi una prova non l'avete disprezzata né respinta, ma al contrario mi avete accolto come un angelo di dio, come cristo gesù
hata hivyo, wakati ule hamkunidharau wala kunikataa kwa sababu ya udhaifu wangu ingawa mlishawishiwa kufanya hivyo; lakini mlinipokea kama malaika wa mungu, kama vile ningekuwa kristo yesu mwenyewe.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
egli dev'esser accolto in cielo fino ai tempi della restaurazione di tutte le cose, come ha detto dio fin dall'antichità, per bocca dei suoi santi profeti
ni lazima yeye abaki huko mbinguni mpaka utakapofika wakati wa kurekebishwa vitu vyote, kama mungu alivyosema kwa njia ya manabii wake watakatifu wa tangu zamani.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
accogliete l’uomo che ha debolezze nella sua fede, ma non per prendere decisioni su intime opinioni. un uomo ha fede di mangiare di tutto, ma chi è debole mangia cibi vegetali. colui che mangia non disprezzi colui che non mangia, e colui che non mangia non giudichi colui che mangia, poiché dio l’ha accolto. chi sei tu da giudicare il domestico di un altro? egli sta in piedi o cade al suo proprio signore. in realtà, sarà fatto stare in piedi, poiché geova può farlo stare in piedi.
mkaribisheni mtu aliye na udhaifu katika imani yake, lakini msifanye maamuzi juu ya maswali ya ndani. mtu mmoja ana imani ya kula kila kitu, lakini mtu aliye dhaifu hula mboga za majani. yeye anayekula asimdharau yeye asiyekula, na yeye asiyekula asimhukumu yeye anayekula, kwa maana mungu amemkaribisha huyo. wewe ni nani ili umhukumu mtumishi wa nyumbani wa mwingine? kwa bwana wake mwenyewe yeye husimama au kuanguka. kwa kweli, atasimamishwa, kwa maana yehova anaweza kumsimamisha.