Results for cessato translation from Italian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Italian

Swahili

Info

Italian

cessato

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

tu non mi hai dato un bacio, lei invece da quando sono entrato non ha cessato di baciarmi i piedi

Swahili

wewe hukunisalimu kwa kunibusu, lakini huyu mwanamke tangu nilipoingia hapa amekuwa akiibusu miguu yangu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

per questo vigilate, ricordando che per tre anni, notte e giorno, io non ho cessato di esortare fra le lacrime ciascuno di voi

Swahili

kwa hiyo, muwe macho mkikumbuka kwamba kwa muda wa miaka mitatu, usiku na mchana, sikuchoka kumwonya kila mmoja wenu kwa machozi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

appena cessato il tumulto, paolo mandò a chiamare i discepoli e, dopo averli incoraggiati, li salutò e si mise in viaggio per la macedonia

Swahili

ile ghasia ya efeso ilipokwisha tulia paulo aliwaita pamoja wale waumini, akawatia moyo. kisha akawaaga, akasafiri kwenda makedonia.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

altrimenti non si sarebbe forse cessato di offrirli, dal momento che i fedeli, purificati una volta per tutte, non avrebbero ormai più alcuna coscienza dei peccati

Swahili

kama hao watu wanaomwabudu mungu wangekuwa wametakaswa dhambi zao kweli, hawangejisikia tena kuwa na dhambi, na dhabihu hizo zote zingekoma.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ma non ha cessato di dar prova di sé beneficando, concedendovi dal cielo piogge e stagioni ricche di frutti, fornendovi il cibo e riempiendo di letizia i vostri cuori»

Swahili

hata hivyo, mungu hakuacha kujidhihirisha kwa mambo mema anayowatendea: huwanyeshea mvua toka angani, huwapa mavuno kwa wakati wake, huwapa chakula na kuijaza mioyo yenu furaha."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

quindi vi supplico per le compassioni di dio, fratelli, di presentare i vostri corpi in sacrificio vivente, santo, accettevole a dio, sacro servizio con la vostra facoltà di ragionare. e cessate di conformarvi a questo sistema di cose, ma siate trasformati rinnovando la vostra mente, per provare a voi stessi la buona e accettevole e perfetta volontà di dio.

Swahili

kwa sababu hiyo nawasihi ninyi kwa huruma za mungu, akina ndugu, mtoe miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, yenye kukubalika kwa mungu, utumishi mtakatifu pamoja na nguvu zenu za kufikiri. na acheni kufanyizwa kulingana na mfumo huu wa mambo, bali mgeuzwe kwa kufanya upya akili yenu, ili mjihakikishie wenyewe mapenzi ya mungu yaliyo mema na yenye kukubalika na makamilifu.

Last Update: 2013-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,783,782,743 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK