Results for dichiara translation from Italian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Italian

Swahili

Info

Italian

dichiara

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

così allah vi dichiara i suoi segni, affinché meditiate.

Swahili

hivi ndivyo mwenyezi mungu anavyo kubainishieni ishara ili mpate kufikiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

anwar, che sta scontando una pena di cinque anni per sodomia, dichiara che il suo caso era motivato da ragioni politiche.

Swahili

anwar, anayetumikia kifungo chake cha miaka mitano jela kwa makosa ya ufiraji, anasema kesi yake iliendeshwa kisiasa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

lo spirito dichiara apertamente che negli ultimi tempi alcuni si allontaneranno dalla fede, dando retta a spiriti menzogneri e a dottrine diaboliche

Swahili

roho asema waziwazi kwamba siku za baadaye watu wengine wataitupilia mbali imani; watazitii roho danganyifu na kufuata mafundisho ya pepo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

in egitto, le molestie sessuali sono un serio problema , ma per fortuna un numero sempre crescente di egiziani si dichiara contrario.

Swahili

nchini misri, udhalilishaji wa kijinsia ni tatizo kubwa, na ndilo jambo linaloongozwa kupingwa na wamisri.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

la dichiarazione per la libertà in internet può essere firmata da tutti i rappresentanti della società civile, singoli individui e associazioni. il testo dichiara quanto segue:

Swahili

utetezi huu uko wazi kutiwa saini na mtu mmojammoja au asasi ya kiraia, kauli hii ya linda uhuru wa intaneti ulimwenguni inasomeka kama ifuatavyo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

fratelli, ecco, vi faccio un esempio comune: un testamento legittimo, pur essendo solo un atto umano, nessuno lo dichiara nullo o vi aggiunge qualche cosa

Swahili

ndugu, nitawapeni mfano kutoka maisha yetu ya kila siku. fikirini juu ya mkataba kati ya watu wawili. mkataba ukisha fanyika na kutiwa sahihi hapana mtu anayeuweka kando au kuuongezea kitu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

il 18 luglio 2010 sarà il primo nelson mandela international day. le nazioni unite, nel novembre 2009, hanno infatti approvato una risoluzione che dichiara il 18 luglio giornata internazionale dedicata ad attività umanitarie.

Swahili

itakuwa ndiyo siku kimataifa ya nelson mandela ya kwanza tangu umoja wa mataifa ulipopitisha azimio mwezi novemba mwaka 2009, likiitangaza tarehe 18 julai kwamba ni siku inayotengwa kwa ajili ya shughuli za kuimarisha utu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

dal suo blog , daniel bustos commenta dalla colombia l’economia dei mondiali in brasile e, dopo aver toccato l’inevitabile questione della corruzione, dichiara:

Swahili

blogu ya daniel bustos kutoka colombia kuhusu uchumi wa kombe la dunia nchini brazil na baada ya kugusia suala lisilo epukika la rushwa, inasema:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

timoteo, mio compagno d’opera, vi saluta, e anche lucio e giasone e sosipatro miei parenti. io, terzo, che ho scritto questa lettera, vi saluto nel signore. vi saluta gaio, ospite mio e di tutta la congregazione. vi saluta erasto, economo della città, come pure quarto suo fratello. — ora a colui che vi può rendere fermi secondo la buona notizia che io dichiaro e la predicazione di gesù cristo, conforme alla rivelazione del sacro segreto che per tempi di lunga durata è stato taciuto, ma che ora è stato reso manifesto ed è stato fatto conoscere per mezzo delle scritture profetiche fra tutte le nazioni secondo il comando dell’iddio eterno per promuovere l’ubbidienza mediante la fede: a dio, solo sapiente, sia la gloria per mezzo di gesù cristo per sempre. amen.

Swahili

timotheo mfanyakazi mwenzangu anawasalimu ninyi, na pia lukio na yasoni na sosipata jamaa zangu. mimi, tertio, ambaye nimeiandika barua hii, nawasalimu ninyi katika bwana. gayo, mkaribishaji wangu na wa kutaniko lote, anawasalimu ninyi. erasto msimamizi wa jiji anawasalimu ninyi, na pia kwarto ndugu yake. —— sasa kwa yeye anayeweza kuwafanya ninyi kuwa imara kulingana na habari njema ninayotangaza na kuhubiriwa kwa yesu kristo, kwa kupatana na ufunuo wa siri takatifu ambayo imewekwa katika siri tangu nyakati za zamani za kale lakini sasa imefunuliwa na kujulishwa kupitia maandiko ya kinabii kati ya mataifa yote kwa kupatana na amri ya mungu anayedumu milele ili kuendeleza utii kwa njia ya imani; kwa mungu, mwenye hekima peke yake, kuwe na utukufu kupitia yesu kristo milele. amina.

Last Update: 2013-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,775,765,495 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK