From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
chi invece fissa lo sguardo sulla legge perfetta, la legge della libertà, e le resta fedele, non come un ascoltatore smemorato ma come uno che la mette in pratica, questi troverà la sua felicità nel praticarla
lakini mtu anayeangalia kwa makini sheria kamilifu ambayo huwapa watu uhuru, mtu anayeendelea kuizingatia, na si kuisikia tu na kuisahau baadaye, bali anaitekeleza, mtu huyo atabarikiwa katika kila kitu anachofanya.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
subendo il castigo come salario dell'iniquità. essi stimano felicità il piacere d'un giorno; sono tutta sporcizia e vergogna; si dilettano dei loro inganni mentre fan festa con voi
na watalipwa mateso kwa mateso ambayo wameyasababisha. furaha yao ni kufanya, tena mchana kabisa, chochote kinachotosheleza anasa zao za mwili. hao ni fedheha na aibu tupu kwa jumuiya yenu wakati wanapojiunga nanyi katika karamu zenu, bali wakifurahia njia zao za udanganyifu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: