Results for insegna translation from Italian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Italian

Swahili

Info

Italian

insegna

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

temete allah, è allah che vi insegna.

Swahili

na mkifanya hivyo basi hakika hilo ni kosa kwenu. na mcheni mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

tu però insegna ciò che è secondo la sana dottrina

Swahili

lakini wewe unapaswa kuhubiri mafundisho safi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

la dottrina mi insegna come condurre una buona vita da essere umano e mi sembra molto ragionevole.

Swahili

mafundisho ya dini yananielekeza namna ya kuishi kama binadamu na kwangu hilo linafaa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

se qualcuno insegna diversamente e non segue le sane parole del signore nostro gesù cristo e la dottrina secondo la pietà

Swahili

mtu yeyote anayefundisha kinyume cha mambo haya, na ambaye hakubaliani na maneno ya kweli ya bwana wetu yesu kristo na mafundisho ya dini,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

dopo tre mesi salpammo su una nave di alessandria che aveva svernato nell'isola, recante l'insegna dei diòscuri

Swahili

baada ya miezi mitatu tulianza tena safari yetu kwa meli moja ya aleksandria iitwayo "miungu pacha". meli hiyo ilikuwa imetia nanga kisiwani wakati wote wa baridi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

egli, ad esempio, inizia a parlare del sole e potrebbe facilmente finire parlando di yoga, disciplina che enrique insegna in prigione.

Swahili

anaweza kuanza kuzungumzia jua kwa mfano, na anaweza kuhitimisha kwa kuiongelea yoga, maarifa ambayo huwa anayafundisha gerezani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ma ho da rimproverarti che lasci fare a iezabèle, la donna che si spaccia per profetessa e insegna e seduce i miei servi inducendoli a darsi alla fornicazione e a mangiare carni immolate agli idoli

Swahili

lakini nina hoja moja juu yako: wewe unamvumilia yule mwanamke yezabeli anayejiita nabii wa mungu. yeye huwafundisha na kuwapotosha watumishi wangu wafanye uzinzi na kula vyakula vilivyotambikiwa sanamu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

egli è colui che ha inviato tra gli illetterati un messaggero della loro gente, che recita i suoi versetti, li purifica e insegna loro il libro e la saggezza, anche se in precedenza erano in errore evidente,

Swahili

yeye ndiye aliye mpeleka mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee aya zake na awatakase, na awafunze kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

poiché per l’immeritata benignità datami dico a ognuno che è fra voi di non pensare di sé più di quanto sia necessario pensare; ma di pensare in modo da avere una mente sana, ciascuno secondo la misura di fede che dio gli ha distribuito. poiché come in un solo corpo abbiamo molte membra, ma le membra non hanno tutte la stessa funzione, così noi, benché molti, siamo un solo corpo, uniti a cristo, ma membri appartenenti individualmente gli uni agli altri. siccome abbiamo dunque doni diversi secondo l’immeritata benignità dataci, se profezia, profetizziamo secondo la fede impartitaci; se ministero, dedichiamoci a questo ministero; chi insegna, si dedichi al suo insegnamento; chi esorta, si dedichi alla sua esortazione; chi distribuisce, lo faccia con liberalità; chi presiede, lo faccia con reale premura; chi mostra misericordia, lo faccia con allegrezza.

Swahili

kwa maana kupitia fadhili zisizostahiliwa nilizopewa namwambia kila mtu hapo kati yenu asijifikirie mwenyewe zaidi kuliko ilivyo lazima kufikiri; bali kufikiri ili awe na akili timamu, kila mmoja kama mungu alivyomgawia kipimo cha imani. kwa maana kama vile tulivyo na viungo vingi katika mwili mmoja, lakini viungo hivyo havifanyi kazi ileile, ndivyo sisi, ingawa tuko wengi, ni mwili mmoja katika muungano na kristo, lakini viungo ambavyo kila kimoja ni cha kile kingine. basi, kwa kuwa tuna zawadi zinazotofautiana kulingana na fadhili zisizostahiliwa tulizopewa, kama ni unabii, na tutoe unabii kulingana na imani tuliyogawiwa; au ni huduma, na tuwe katika huduma hii; au yeye anayefundisha, na awe katika kufundisha kwake; au yeye anayehimiza, na awe katika kuhimiza kwake; yeye anayegawa, na afanye hivyo kwa ukarimu; yeye anayesimamia, na afanye hivyo kwa bidii ya kweli; yeye anayeonyesha rehema, na afanye hivyo kwa uchangamfu.

Last Update: 2013-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,774,161,700 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK