Results for io sono translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

io sono il pane della vita

Swahili

mimi ni mkate wa uzima.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

io sono con voi: [tutto] odo e vedo.

Swahili

hakika mimi ni pamoja nanyi. nasikia na ninaona.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

gloria a te! io sono stato un ingiusto!”.

Swahili

hakika mimi nilikuwa miongoni mwa wenye kudhulumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

io sono una dei 100 corrispondenti invitati da tutto il mondo.

Swahili

mimi ni mmoja wa wawakilishi wake 100 walioalikwa kutoka duniani kote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

disse: “io sono giuseppe e questi è mio fratello.

Swahili

akasema: mimi ndiye yusuf, na huyu ni ndugu yangu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

del quale io sono stato costituito araldo, apostolo e maestro

Swahili

mungu amenichagua mimi niwe mtume na mwalimu kwa ajili ya kuhubiri habari njema,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

di fronte a loro io sono in colpa. temo che mi uccidano”.

Swahili

na wao wana kisasi juu yangu, kwa hivyo naogopa wasije kuniuwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

poiché sta scritto: voi sarete santi, perché io sono santo

Swahili

maandiko yasema: "muwe watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

quando i miei servi ti chiedono di me, ebbene io sono vicino!

Swahili

na waja wangu watakapo kuuliza khabari zangu, waambie kuwa mimi nipo karibu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

in quel giorno voi saprete che io sono nel padre e voi in me e io in voi

Swahili

siku ile itakapofika mtajua kwamba mimi niko ndani ya baba, nanyi mko ndani yangu, nami ndani yenu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

“o mosè, in verità io sono allah, l'eccelso, il saggio.

Swahili

ewe musa! hakika mimi ndiye mwenyezi mungu, mwenye nguvu, mwenye hikima.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

in verità, io sono allah: non c'è dio all'infuori di me.

Swahili

hakika mimi ndiye mwenyezi mungu. hapana mungu ila mimi tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

disse: “o popol mio, in verità io sono per voi un ammonitore evidente:

Swahili

akasema: enyi watu wangu! kwa hakika mimi ni mwonyaji wa dhaahiri kwenu,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

in verità questa vostra comunità è una comunità unica e io sono il vostro signore. temetemi dunque.

Swahili

na kwa yakini huu umma wenu ni umma mmoja, na mimi ni mola wenu mlezi, basi nicheni mimi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

disse mosè: “o faraone, in verità io sono un messaggero inviato dal signore dei mondi.

Swahili

na musa alisema: ewe firauni! hakika mimi ni mtume nitokaye kwa mola mlezi wa viumbe vyote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

“accorrete allora verso allah! in verità io sono per voi un ammonitore esplicito da parte sua.

Swahili

basi kimbilieni kwa mwenyezi mungu, hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae kwake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

in verità, io sono colui che assolve chi si pente, crede, compie il bene e poi segue la retta via.

Swahili

na hakika mimi ni mwingi wa kusamehe kwa anaye tubia, na akaamini, na akatenda mema, tena akaongoka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

[che disse]: “datemi i servi di allah! io sono per voi un messaggero affidabile!

Swahili

akasema: nipeni waja wa mwenyezi mungu; kwa hakika mimi kwenu ni mtume muaminifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

invece coloro che si sono pentiti e si sono emendati... da costoro io accetto il pentimento. io sono colui che accoglie il pentimento, il misericordioso.

Swahili

ila wale walio tubu na wakatengeneza na wakabainisha, basi hao nitapokea toba yao, na mimi ni mwenye kupokea toba na mwenye kurehemu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

io sono in una posizione di neutralità, quindi non posso dichiarare pubblicamente il mio voto (ad esempio militare, ufficiale inec).

Swahili

niko kwenye nafasi inayonitaka kutokuwa na upande wowote kwa hiyo siwezi kuutaja upande huo hadharani (mfano mwanajeshi, afisa wa tume ya uchaguzi ya naijeria).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,642,297,124 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK