From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
esorto gli anziani che sono tra voi, quale anziano come loro, testimone delle sofferenze di cristo e partecipe della gloria che deve manifestarsi
wazee! mimi niliye mzee ninalo ombi moja kwenu wazee wenzangu. mimi mwenyewe nilishuhudia kwa macho yangu mateso ya kristo na natumaini kuushiriki ule utukufu utakaofunuliwa. mimi nawaombeni
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
mentre essi stavano ad ascoltare queste cose, gesù disse ancora una parabola perché era vicino a gerusalemme ed essi credevano che il regno di dio dovesse manifestarsi da un momento all'altro
wakati watu walipokuwa bado wanasikiliza hayo, yesu akawaambia mfano. (hapo alikuwa anakaribia yerusalemu, na watu wale walidhani kwamba muda si muda, ufalme wa mungu ungefika.)
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: