Results for prego translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

possiamo incontrarci di nuovo. prego per te.

Swahili

tunaweza kuonana tena, tunawaombea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ti voglio bene, ti prego non perdere la speranza.

Swahili

ninawapenda, tafadhali msipoteze matumaini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ti prego dunque per il mio figlio, che ho generato in catene

Swahili

basi, ninalo ombi moja kwako kuhusu mwanangu onesimo, ambaye ni mwanangu katika kristo kwani nimekuwa baba yake nikiwa kifungoni.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

non prego solo per questi, ma anche per quelli che per la loro parola crederanno in me

Swahili

"siwaombei hao tu, bali nawaombea pia wote watakaoamini kutokana na ujumbe wao.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

ma per non trattenerti troppo a lungo, ti prego di darci ascolto brevemente nella tua benevolenza

Swahili

lakini, bila kupoteza wakati wako zaidi, tunakusihi kwa wema wako, usikilize taarifa yetu fupi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

e quegli replicò: allora, padre, ti prego di mandarlo a casa di mio padre

Swahili

huyo aliyekuwa tajiri akasema: basi baba, nakuomba umtume aende nyumbani kwa baba yangu,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

che conosci a perfezione tutte le usanze e questioni riguardanti i giudei. perciò ti prego di ascoltarmi con pazienza

Swahili

hasa kwa vile wewe mwenyewe ni mtaalamu wa desturi za wayahudi na migogoro yao, ninakuomba basi unisikilize kwa uvumilivu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

io prego per loro; non prego per il mondo, ma per coloro che mi hai dato, perché sono tuoi

Swahili

"nawaombea hao; siuombei ulimwengu, ila nawaombea hao ulionipa, maana ni wako.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

un altro disse: ho comprato cinque paia di buoi e vado a provarli; ti prego, considerami giustificato

Swahili

mwingine akasema: nimenunua ng'ombe jozi tano wa kulima; sasa nimo njiani kwenda kuwajaribu; nakuomba uniwie radhi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

siate come me, ve ne prego, poiché anch'io sono stato come voi, fratelli. non mi avete offeso in nulla

Swahili

ndugu, nawasihi muwe kama mimi, kwa vile hata mimi nimekuwa kama ninyi. hamkunitendea ubaya wowote.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

e ora prego te, signora, non per darti un comandamento nuovo, ma quello che abbiamo avuto fin dal principio, che ci amiamo gli uni gli altri

Swahili

basi, bimkubwa, ninalo ombi moja kwako: tupendane. ombi hili si amri mpya, bali ni amri ileile tuliyokuwa nayo tangu mwanzo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

giunsero intanto a un podere chiamato getsèmani, ed egli disse ai suoi discepoli: «sedetevi qui, mentre io prego»

Swahili

basi, wakafika katika bustani iitwayo gethsemane. yesu akawaambia wanafunzi wake, "kaeni hapa wakati mimi nasali."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

disse [mosè]: “se dopo di ciò ancora ti interrogherò, non mi tenere più insieme con te. ti prego di scusarmi”.

Swahili

akasema: nikikuuliza kitu chochote baada ya haya usifuatane nami, kwani umekwisha pata udhuru kwangu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

a un tratto dalla folla un uomo si mise a gridare: «maestro, ti prego di volgere lo sguardo a mio figlio, perché è l'unico che ho

Swahili

hapo, mtu mmoja katika lile kundi akapaaza sauti, akasema, "mwalimu! ninakusihi umwangalie mwanangu--mwanangu wa pekee!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

ma tutti, all'unanimità, cominciarono a scusarsi. il primo disse: ho comprato un campo e devo andare a vederlo; ti prego, considerami giustificato

Swahili

lakini wote, kwa namna moja, wakaanza kuomba radhi. wa kwanza akamwambia mtumishi: nimenunua shamba, kwa hiyo sina budi kwenda kuliangalia; nakuomba uniwie radhi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

alla vista di gesù gli si gettò ai piedi urlando e disse a gran voce: «che vuoi da me, gesù, figlio del dio altissimo? ti prego, non tormentarmi!»

Swahili

alipomwona yesu, alipiga kelele na kujitupa chini mbele yake, na kusema kwa sauti kubwa "we, yesu mwana wa mungu aliye juu una shauri gani nami? ninakusihi usinitese!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,649,965,654 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK