Results for preparate translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

rispose: preparate la via del signore, come disse il profeta isaia»

Swahili

yohane akawajibu, "mimi ndiye yule ambaye nabii isaya alisema habari zake: sauti ya mtu imesikika jangwani: nyoosheni njia ya bwana."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

egli vi mostrerà una sala al piano superiore, grande e addobbata; là preparate»

Swahili

naye atawaonyesheni chumba kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. andalieni humo."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

voce di uno che grida nel deserto: preparate la strada del signore, raddrizzate i suoi sentieri

Swahili

sauti ya mtu imesikika jangwani: mtayarishieni bwana njia yake, nyoosheni mapito yake."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

egli vi mostrerà al piano superiore una grande sala con i tappeti, gia pronta; là preparate per noi»

Swahili

naye atawaonyesha chumba kikubwa ghorofani kilichotayarishwa na kupambwa. tuandalieni humo."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

com'è scritto nel libro degli oracoli del profeta isaia: preparate la via del signore, raddrizzate i suoi sentieri

Swahili

ndivyo ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii isaya: "sauti ya mtu imesikika jangwani: mtayarishieni bwana njia yake; nyosheni mapito yake.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

fece poi chiamare due dei centurioni e disse: «preparate duecento soldati per andare a cesarèa insieme con settanta cavalieri e duecento lancieri, tre ore dopo il tramonto

Swahili

basi, mkuu wa jeshi aliwaita askari wawili akawaambia, "wekeni tayari askari mia mbili, wapanda farasi sabini na askari mia mbili wa mikuki, waende kaisarea; muwe tayari kuondoka kabla ya saa tatu leo usiku.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

a quelli di loro che sono miscredenti, abbiamo preparato un castigo atroce.

Swahili

basi tumewaandalia makafiri katika wao adhabu yenye uchungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,906,096,805 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK