Results for raggiungere translation from Italian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Italian

Swahili

Info

Italian

raggiungere

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

non sta al sole raggiungere la luna e neppure alla notte sopravanzare il giorno.

Swahili

haliwi jua kuufikia mwezi, wala usiku kuupita mchana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

trasportano i vostri pesi verso contrade che non potreste raggiungere, se non con grande fatica.

Swahili

na hubeba mizigo yenu kupeleka kwenye miji msiyo weza kuifikia ila kwa mashaka ya nafsi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

il 30 ottobre scorso, 87 persone hanno trovato la morte nel tentativo di raggiungere il mediterraneo.

Swahili

mnamo tarehe 30 0ctoba, watu 87 waliokuwa wakijaribu kuifikia bahari ya mediterania walifariki mara baada ya madereva waliokuwa wakiendesha magari waliyoyatumia kusafiria kuwatelekeza wahamiaji hao katika jangwa la sahara.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

disse faraone: “o hâmân, costruiscimi una torre: forse potrò raggiungere le vie,

Swahili

na firauni akasema: ewe hamana! nijengee mnara ili nipate kuzifikia njia,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

combatti la buona battaglia della fede, cerca di raggiungere la vita eterna alla quale sei stato chiamato e per la quale hai fatto la tua bella professione di fede davanti a molti testimoni

Swahili

piga mbio kadiri uwezavyo katika shindano la mbio za imani, ukajipatie tuzo la uzima wa milele, uliloitiwa wakati ulipokiri imani yako mbele ya mashahidi wengi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

sono i miscredenti che hanno ostruito la via [per raggiungere] la santa moschea e hanno impedito che le vittime sacrificali giungessero al luogo del sacrificio.

Swahili

hao ndio walio kufuru na wakakuzuieni msiingie msikiti mtakatifu, na wakawazuilia dhabihu kufika mahala pao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

il resoconto straziante di uno dei superstiti, il quattordicenne shafa, racconta la difficoltà di molti migranti nel cercare di raggiungere l'europa e gli ostacoli da loro affrontati.

Swahili

simulizi ya kuhuzunisha kutoka kwa mmoja wa watu walionusurika aliyejulikana kwa jina la shafa mwenye umri wa miaka 14, yaelezea taabu wanazokumbana nazo wahamiaji wengi wanaojaribu kwenda ulaya na vikwazo wanavyokabiliana navyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

la crescita economica dell'africa sub-sahariana si dimostra stabile e, secondo le previsioni, dovrebbe raggiungere il 4,9% per il 2013.

Swahili

ukuaji wa uchumi kusini mwa jangwa la sahara unabaki kuwa imara huku ukuaji ukitabiriwa kufikia asilimia 4.9 mwa 2013.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

alddedd wald al sheikh scrive su twitter: @dedda04: diritti, rivoluzione e segni di ribellione esistenti in mauritania stanno iniziando a raggiungere i lavoratori "journalia".

Swahili

alddedd wald al sheikh alitwiti pia: @dedda04: haki za mapinduzi na ishara ya uasi uliopo katika mauritania zimeanza kufikia wafanyakazi wa journalia

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,773,604,971 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK