From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
cristo ci ha riscattati dalla maledizione della legge, diventando lui stesso maledizione per noi, come sta scritto: maledetto chi pende dal legno
kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana maandiko yanasema: "yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ci sono stati anche falsi profeti tra il popolo, come pure ci saranno in mezzo a voi falsi maestri che introdurranno eresie perniciose, rinnegando il signore che li ha riscattati e attirandosi una pronta rovina
palitokea manabii wa uongo kati ya watu, na vivyo hivyo walimu wa uongo watatokea kati yenu. watu hao wataingiza mafundisho maharibifu na kumkana bwana aliyewakomboa, na kwa njia hiyo watasababisha ghafla maangamizi yao wenyewe.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
cantavano un canto nuovo: e di aprirne i sigilli, perché sei stato immolato e hai riscattato per dio con il tuo sangue uomini di ogni tribù, lingua, popolo e nazion
basi, wakaimba wimbo huu mpya: "wewe unastahili kukitwaa hicho kitabu na kuivunja mihuri yake. kwa sababu wewe umechinjwa, na kwa damu yako umemnunulia mungu watu kutoka katika kila kabila, lugha, jamaa na taifa.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting