From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
et corpora caelestia et corpora terrestria sed alia quidem caelestium gloria alia autem terrestriu
iko miili ya mbinguni na miili ya duniani; uzuri wa miili ya mbinguni ni mwingine, na na uzuri wa miili ya duniani ni mwingine.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
necesse est ergo exemplaria quidem caelestium his mundari ipsa autem caelestia melioribus hostiis quam isti
vitu hivi ambavyo ni mfano tu wa mambo halisi ya mbinguni, vililazimika kutakaswa kwa namna hiyo. lakini vitu vya mbinguni huhitaji dhabihu iliyo bora zaidi.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
qui exemplari et umbrae deserviunt caelestium sicut responsum est mosi cum consummaret tabernaculum vide inquit omnia facito secundum exemplar quod tibi ostensum est in mont
huduma zao za kikuhani ni mfano tu na kivuli cha yale yaliyoko mbinguni. ndivyo pia ilivyokuwa kwa mose. wakati alipokuwa karibu kuitengeneza ile hema, mungu alimwambia: "tengeneza kila kitu kufuatana na ule mfano ulioonyeshwa kule mlimani."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting