From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
filioli mei quos iterum parturio donec formetur christus in vobi
watoto wangu, kama vile mama mja mzito anavyotaabika wakati wa kujifungua, mimi nataabika tena kwa ajili yenu mpaka hapo hali yake kristo itakapoundwa ndani yenu.
alii dicebant hic est christus quidam autem dicebant numquid a galilaea christus veni
wengine wakasema, "huyu ndiye kristo!" lakini wengine walisema, "je, yawezekana kristo akatoka galilaya?
ait illi utique domine ego credidi quia tu es christus filius dei qui in mundum venist
martha akamwambia, "ndiyo bwana! naamini kwamba wewe ndiwe kristo, mwana wa mungu, yule ajaye ulimwenguni."
adaperiens et insinuans quia christum oportuit pati et resurgere a mortuis et quia hic est christus iesus quem ego adnuntio vobi
aliyaeleza na kuonyesha kwamba ilimbidi kristo kuteswa na kufufuka kutoka wafu. akawaambia, "yesu ambaye mimi namhubiri kwenu ndiye kristo."
christus vero tamquam filius in domo sua quae domus sumus nos si fiduciam et gloriam spei usque ad finem firmam retineamu
lakini kristo ni mwaminifu kama mwana mwenye mamlaka juu ya nyumba ya mungu. sisi ni nyumba yake kama tukizingatia uhodari wetu na uthabiti wetu katika kile tunachotumainia.
dei enim filius iesus christus qui in vobis per nos praedicatus est per me et silvanum et timotheum non fuit est et non sed est in illo fui
maana kristo yesu, mwana wa mungu, ambaye mimi, silwano na timotheo, tulimhubiri kwenu, hakuwa mtu wa "ndiyo" na "siyo"; bali yeye daima ni "ndiyo" ya mungu.
consepulti enim sumus cum illo per baptismum in mortem ut quomodo surrexit christus a mortuis per gloriam patris ita et nos in novitate vitae ambulemu
tulipobatizwa tuliungana na kifo chake, tukazikwa pamoja naye, ili kama vile kristo alivyofufuliwa kutoka wafu kwa kitendo kitukufu cha baba, sisi pia tuweze kuishi maisha mapya.