Results for cognovit translation from Latin to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

quis enim cognovit sensum domini aut quis consiliarius eius fui

Swahili

"nani aliyepata kuyajua mawazo ya bwana? nani awezaye kuwa mshauri wake?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

si quis se existimat scire aliquid nondum cognovit quemadmodum oporteat eum scir

Swahili

anayefikiri kwamba anajua kitu, kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

quam nemo principum huius saeculi cognovit si enim cognovissent numquam dominum gloriae crucifixissen

Swahili

ni hekima ambayo watawala wa dunia hii hawakuielewa; maana wangalielewa, hawangalimsulubisha bwana wa utukufu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

omnis qui in eo manet non peccat omnis qui peccat non vidit eum nec cognovit eu

Swahili

basi, kila aishiye katika muungano na kristo hatendi dhambi; lakini kila mtu atendaye dhambi hakupata kamwe kumwona, wala kumjua kristo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et ecce mulier quae erat in civitate peccatrix ut cognovit quod accubuit in domo pharisaei adtulit alabastrum unguent

Swahili

basi, katika mji ule kulikuwa na mama mmoja aliyekuwa anaishi maisha mabaya. alipopata habari kwamba yesu yuko nyumbani kwa huyo mfarisayo, alichukua chupa ya alabasta yenye marashi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

cognovit ergo pater quia illa hora erat in qua dixit ei iesus filius tuus vivit et credidit ipse et domus eius tot

Swahili

huyo baba akakumbuka kwamba ilikuwa ni saa ileile ambapo yesu alimwambia: "mwanao yu mzima." basi, yeye akaamini pamoja na jamaa yake yote.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

cognovit ergo turba multa ex iudaeis quia illic est et venerunt non propter iesum tantum sed ut lazarum viderent quem suscitavit a mortui

Swahili

wayahudi wengi walisikia kwamba yesu alikuwa bethania. basi, wakafika huko si tu kwa ajili ya kumwona yesu, ila pia wapate kumwona lazaro ambaye yesu alimfufua kutoka wafu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

cognovit autem iesus quia volebant eum interrogare et dixit eis de hoc quaeritis inter vos quia dixi modicum et non videbitis me et iterum modicum et videbitis m

Swahili

yesu alijua kwamba walitaka kumwuliza, basi akawaambia, "je, mnaulizana juu ya yale niliyosema: bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona; na baada ya kitambo kidogo tena mtaniona?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,934,717,473 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK