From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
qui crediderit et baptizatus fuerit salvus erit qui vero non crediderit condemnabitu
anayeamini na kubatizwa ataokolewa; asiyeamini atahukumiwa.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
propter quod continet in scriptura ecce pono in sion lapidem summum angularem electum pretiosum et qui crediderit in eo non confundetu
maana maandiko matakatifu yasema: "tazama! naweka huko sioni jiwe kuu la msingi, jiwe la thamani kubwa nililoliteua. mtu atakayemwamini yeye aliye hilo jiwe, hataaibishwa."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
amen dico vobis quicumque dixerit huic monti tollere et mittere in mare et non haesitaverit in corde suo sed crediderit quia quodcumque dixerit fiat fiet e
nawaambieni kweli, mtu akiuambia mlima huu: ng'oka ukajitose baharini bila kuona shaka moyoni mwake, ila akaamini kwamba mambo yote anayosema yanafanyika, atafanyiwa jambo hilo.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: