Results for eorum translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

eorum

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

igitur ex fructibus eorum cognoscetis eo

Swahili

kwa hiyo, mtawatambua kwa matendo yao.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

veloces pedes eorum ad effundendum sanguine

Swahili

miguu yao iko mbioni kumwaga damu,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

erat autem docens in synagoga eorum sabbati

Swahili

yesu alikuwa akifundisha katika sunagogi moja siku ya sabato.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et peccatorum et iniquitatium eorum iam non recordabor ampliu

Swahili

kisha akaongeza kusema: "sitakumbuka tena dhambi zao, wala vitendo vyao vya uhalifu."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et ipse docebat in synagogis eorum et magnificabatur ab omnibu

Swahili

naye akawa anawafundisha watu katika masunagogi yao, akasifiwa na wote.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et erat in synagoga eorum homo in spiritu inmundo et exclamavi

Swahili

mara akatokea mle ndani ya sunagogi mtu mmoja mwenye pepo mchafu,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

cognita autem iesus nequitia eorum ait quid me temptatis hypocrita

Swahili

lakini yesu alitambua uovu wao, akawaambia, "enyi

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et erat praedicans in synagogis eorum et omni galilaea et daemonia eicien

Swahili

basi, akaenda kila mahali galilaya akihubiri katika masunagogi na kufukuza pepo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

confidis te ipsum ducem esse caecorum lumen eorum qui in tenebris sun

Swahili

wewe unajiona kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani;

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et aperti sunt oculi eorum et cognoverunt eum et ipse evanuit ex oculis eoru

Swahili

mara macho yao yakafumbuliwa, wakamtambua; lakini yeye akatoweka kati yao.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

a fructibus eorum cognoscetis eos numquid colligunt de spinis uvas aut de tribulis ficu

Swahili

mtawatambua kwa matendo yao. je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? la!

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et domesticam eorum ecclesiam salutate ephaenetum dilectum mihi qui est primitivus asiae in christ

Swahili

salamu zangu pia kwa kanisa linalokutana nyumbani kwao. salamu zangu zimfikie rafiki yangu epaineto ambaye ni kwa kwanza katika mkoa wa asia kumwamini kristo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

at ille respondens uni eorum dixit amice non facio tibi iniuriam nonne ex denario convenisti mecu

Swahili

"hapo yule bwana akamjibu mmoja wao, rafiki, sikukupunja kitu! je, hukupatana nami mshahara wa denari moja?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

adprehendentes autem omnes sosthenen principem synagogae percutiebant ante tribunal et nihil eorum gallioni curae era

Swahili

nao wote wakamkamata sosthene ambaye alikuwa kiongozi wa sunagogi, wakampiga palepale mbele ya mahakama. lakini galio hakujali kitendo hicho hata kidogo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et civitates sodomorum et gomorraeorum in cinerem redigens eversione damnavit exemplum eorum qui impie acturi sunt ponen

Swahili

mungu aliadhibu miji ya sodoma na gomora, akaiteketeza kwa moto, akaifanya iwe mfano wa mambo yatakayowapata watu wasiomcha mungu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et corpora eorum in plateis civitatis magnae quae vocatur spiritaliter sodoma et aegyptus ubi et dominus eorum crucifixus es

Swahili

maiti zao zitabaki katika barabara za mji mkuu ambapo bwana wao alisulubiwa; jina la kupanga la mji huo ni sodoma au misri.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et circumibat iesus civitates omnes et castella docens in synagogis eorum et praedicans evangelium regni et curans omnem languorem et omnem infirmitate

Swahili

yesu alitembelea miji yote na vijiji, akafundisha katika masunagogi yao akihubiri habari njema ya ufalme wa mungu, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila namna.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,772,761,829 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK