From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
cum autem introisset capharnaum accessit ad eum centurio rogans eu
yesu alipokuwa anaingia mjini kafarnaumu, ofisa mmoja mroma alimwendea, akamsihi
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et cum introisset in domum a turba interrogabant eum discipuli eius parabola
alipouacha umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et factum est cum introisset petrus obvius ei cornelius et procidens ad pedes adoravi
petro alipokuwa anaingia, kornelio alitoka nje kumlaki, akapiga magoti mbele yake na kuinama chini kabisa.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et cum introisset in domum discipuli eius secreto interrogabant eum quare nos non potuimus eicere eu
lakini yesu akamshika mkono, akamwinua, naye akasimama.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
cumque introisset statim cum festinatione ad regem petivit dicens volo ut protinus des mihi in disco caput iohannis baptista
msichana akamrudia mfalme mbio akamwomba, "nataka unipe sasa hivi katika sinia kichwa cha yohane mbatizaji."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
cumque introisset filia ipsius herodiadis et saltasset et placuisset herodi simulque recumbentibus rex ait puellae pete a me quod vis et dabo tib
basi, binti yake herodia aliingia, akacheza, akawafurahisha sana herode na wageni wake. mfalme akamwambia huyo msichana, "niombe chochote utakacho, nami nitakupa."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
et veniunt hierosolymam et cum introisset templum coepit eicere vendentes et ementes in templo et mensas nummulariorum et cathedras vendentium columbas everti
basi, wakafika yerusalemu. yesu akaingia hekaluni, akaanza kuwafukuza nje watu waliokuwa wanauza na kununua vitu humo ndani. akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadilishana fedha na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
altera die turba quae stabat trans mare vidit quia navicula alia non erat ibi nisi una et quia non introisset cum discipulis suis iesus in navem sed soli discipuli eius abissen
kesho yake umati wa watu wale waliobaki upande wa pili wa ziwa walitambua kwamba kulikuwa na mashua moja tu pale, na yesu hakuingia katika mashua pamoja na wanafunzi wake, ila wanafunzi hao walikuwa wamekwenda zao peke yao.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: