From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nunc autem multa quidem membra unum autem corpu
ukweli ni kwamba, sehemu za mwili ni nyingi, lakini mwili ni mmoja.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
vos autem estis corpus christi et membra de membr
basi, ninyi nyote ni mwili wa kristo; kila mmoja wenu ni kiungo cha mwili huo.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
quia membra sumus corporis eius de carne eius et de ossibus eiu
maana sisi ni viungo vya mwili wake.)
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
sed multo magis quae videntur membra corporis infirmiora esse necessariora sun
zaidi ya hayo, inaonekana kwamba sehemu zile za mwili zinazoonekana kuwa ni dhaifu ndizo zilizo muhimu zaidi.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
nunc autem posuit deus membra unumquodque eorum in corpore sicut volui
lakini kama ilivyo, mungu alizipanga sehemu hizo tofauti katika mwili kama alivyopenda.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et si quid patitur unum membrum conpatiuntur omnia membra sive gloriatur unum membrum congaudent omnia membr
kama kiungo kimoja kinaumia viungo vyote huumia pamoja nacho. kiungo kimoja kikisifiwa viungo vingine vyote hufurahi pamoja nacho.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
an nescitis quoniam membra vestra templum est spiritus sancti qui in vobis est quem habetis a deo et non estis vestr
je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la roho mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa mungu? ninyi basi, si mali yenu wenyewe.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
sed neque exhibeatis membra vestra arma iniquitatis peccato sed exhibete vos deo tamquam ex mortuis viventes et membra vestra arma iustitiae de
wala msitoe hata sehemu moja ya miili yenu iwe chombo cha kutenda uovu na dhambi. badala yake, jitoleeni ninyi wenyewe kwa mungu kama watu waliofufuliwa kutoka wafu; toeni nafsi zenu zote kwa mungu kwa ajili ya uadilifu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
humanum dico propter infirmitatem carnis vestrae sicut enim exhibuistis membra vestra servire inmunditiae et iniquitati ad iniquitatem ita nunc exhibete membra vestra servire iustitiae in sanctificatione
(hapa natumia lugha ya kawaida ya watu kwa sababu ya udhaifu wenu wenyewe.) kama vile wakati fulani mlivyojitolea ninyi wenyewe kutumikia uchafu na uhalifu kwa ajili ya uovu, vivyo hivyo sasa jitoleeni nafsi zenu wenyewe kutumikia uadilifu kwa ajili ya utakatifu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: