Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
simul autem et para mihi hospitium nam spero per orationes vestras donari me vobi
pamoja na hayo, nitayarishie chumba kwani natumaini kwamba kwa sala zenu, mungu atanijalia niwatembeleeni.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
obsecro igitur primo omnium fieri obsecrationes orationes postulationes gratiarum actiones pro omnibus hominibu
kwanza kabisa, basi naomba dua, sala, maombi na sala za shukrani zitolewe kwa mungu kwa ajili ya watu wote,
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
at ille intuens eum timore correptus dixit quid est domine dixit autem illi orationes tuae et elemosynae tuae ascenderunt in memoriam in conspectu de
kornelio alimkodolea macho huyo malaika kwa hofu, akamwambia, "kuna nini mheshimiwa?" huyo malaika akamwambia, "mungu amezipokea sala na sadaka zako kwa maskini.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
viri similiter cohabitantes secundum scientiam quasi infirmiori vaso muliebri inpertientes honorem tamquam et coheredibus gratiae vitae uti ne inpediantur orationes vestra
kadhalika nanyi waume, katika kuishi na wake zenu mnapaswa kutambua kwamba wao ni dhaifu na hivyo muwatendee kwa heshima; maana nao pia watapokea pamoja nanyi zawadi ya uzima anayowapeni mungu. hapo ndipo sala zenu hazitakataliwa.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et cum aperuisset librum quattuor animalia et viginti quattuor seniores ceciderunt coram agno habentes singuli citharas et fialas aureas plenas odoramentorum quae sunt orationes sanctoru
mara tu alipokwisha twaa hicho kitabu, vile viumbe hai vinne pamoja na wale wazee ishirini na wanne walianguka kifudifudi mbele ya mwanakondoo. kila mmoja, alikuwa na kinubi na bakuli za dhahabu zilizojaa ubani, ambao ni sala za watu wa mungu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: