Results for paenitentiam translation from Latin to Swahili

Latin

Translate

paenitentiam

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

et exeuntes praedicabant ut paenitentiam ageren

Swahili

basi, wakaondoka, wakahubiri watu watubu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et dicens paenitentiam agite adpropinquavit enim regnum caeloru

Swahili

"tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

ego quos amo arguo et castigo aemulare ergo et paenitentiam ag

Swahili

mimi ndiye mwenye kumwonya na kumrudi yeyote ninayempenda. kwa hiyo kaza moyo, achana na dhambi zako.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

non dico vobis sed nisi paenitentiam habueritis omnes similiter peribiti

Swahili

nawaambieni hakika sivyo; lakini nanyi, hali kadhalika, msipotubu, mtaangamia kama wao.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

non dico vobis sed si non paenitentiam egeritis omnes similiter peribiti

Swahili

nawaambieni sivyo; lakini nanyi msipotubu, mtaangamia kama wao."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et dedi illi tempus ut paenitentiam ageret et non vult paeniteri a fornicatione su

Swahili

nimempa muda wa kutubu dhambi zake, lakini hataki kuachana na uzinzi wake.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

at ille dixit non pater abraham sed si quis ex mortuis ierit ad eos paenitentiam agen

Swahili

lakini yeye akasema: sivyo baba abrahamu, ila kama mtu atafufuka kutoka wafu na kuwaendea, watatubu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

adtendite vobis si peccaverit frater tuus increpa illum et si paenitentiam egerit dimitte ill

Swahili

jihadharini! kama ndugu yako akikukosea, mwonye; akitubu, msamehe.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et praedicari in nomine eius paenitentiam et remissionem peccatorum in omnes gentes incipientibus ab hierosolym

Swahili

na kwamba ni lazima, kwa jina lake, mataifa yote kuanzia na yerusalemu yahubiriwe juu ya kutubu na kusamehewa dhambi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

an divitias bonitatis eius et patientiae et longanimitatis contemnis ignorans quoniam benignitas dei ad paenitentiam te adduci

Swahili

au labda unaudharau wema wake mkuu, uvumilivu wake na saburi yake, bila kutambua kwamba wema wake huo una shabaha ya kukuongoza upate kutubu?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et non egerunt paenitentiam ab homicidiis suis neque a veneficiis suis neque a fornicatione sua neque a furtis sui

Swahili

wala hawakutubu na kuacha kufanya mauaji, uchawi, uzinzi, na wizi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

viri ninevitae surgent in iudicio cum generatione hac et condemnabunt illam quia paenitentiam egerunt ad praedicationem ionae et ecce plus iona hi

Swahili

watu wa ninewi watatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, na watashuhudia kwamba kizazi hiki kina hatia. hao watu wa ninewi walitubu kwa sababu ya mahubiri ya yona; na hapa pana mkuu zaidi kuliko yona!

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dico vobis quod ita gaudium erit in caelo super uno peccatore paenitentiam habente quam super nonaginta novem iustis qui non indigent paenitenti

Swahili

kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

in mente ergo habe qualiter acceperis et audieris et serva et paenitentiam age si ergo non vigilaveris veniam tamquam fur et nescies qua hora veniam ad t

Swahili

kumbuka, basi, yale uliyofundishwa na jinsi ulivyoyasikia, uyatii na ubadili nia yako mbaya. usipokesha nitakujia ghafla kama mwizi, na wala hutaijua saa nitakapokujia.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

ego quidem vos baptizo in aqua in paenitentiam qui autem post me venturus est fortior me est cuius non sum dignus calciamenta portare ipse vos baptizabit in spiritu sancto et ign

Swahili

mimi ninawabatizeni kwa maji kuonyesha kwamba mmetubu. lakini yule anayekuja baada yangu ana uwezo kuliko mimi. mimi sistahili hata kubeba viatu vyake. yeye atawabatizeni kwa roho mtakatifu na kwa moto.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et ceteri homines qui non sunt occisi in his plagis neque paenitentiam egerunt de operibus manuum suarum ut non adorarent daemonia et simulacra aurea et argentea et aerea et lapidea et lignea quae neque videre possunt neque audire neque ambular

Swahili

wanaadamu wengine waliobaki ambao hawakuuawa na mabaa hayo, hawakugeuka na kuviacha vitu walivyokuwa wametengeneza kwa mikono yao wenyewe; bali wakaendelea kuabudu pepo, sanamu za dhahabu, fedha, shaba, mawe na miti, vitu ambavyo haviwezi kuona, kusikia wala kutembea.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,869,523 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK