From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
duo homines ascenderunt in templum ut orarent unus pharisaeus et alter publicanu
"watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: mmoja mfarisayo, na mwingine mtoza ushuru.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
et cum loqueretur rogavit illum quidam pharisaeus ut pranderet apud se et ingressus recubui
yesu alipokuwa akiongea, mfarisayo mmoja alimkaribisha chakula nyumbani kwake, naye akaenda, akaketi kula chakula.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
pharisaeus autem coepit intra se reputans dicere quare non baptizatus esset ante prandiu
huyo mfarisayo alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
pharisaeus stans haec apud se orabat deus gratias ago tibi quia non sum sicut ceteri hominum raptores iniusti adulteri vel ut etiam hic publicanu
huyo mfarisayo akasimama, akasali kimoyomoyo: ee mungu, nakushukuru kwa vile mimi si kama watu wengine: walafi, wadanganyifu au wazinzi. nakushukuru kwamba mimi si kama huyu mtoza ushuru.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
videns autem pharisaeus qui vocaverat eum ait intra se dicens hic si esset propheta sciret utique quae et qualis mulier quae tangit eum quia peccatrix es
yule mfarisayo aliyemwalika yesu alipoona hayo, akawaza moyoni mwake, "kama mtu huyu angekuwa kweli nabii angejua huyu mwanamke ni wa namna gani, ya kwamba ni mwenye dhambi."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
sciens autem paulus quia una pars esset sadducaeorum et altera pharisaeorum exclamavit in concilio viri fratres ego pharisaeus sum filius pharisaeorum de spe et resurrectione mortuorum ego iudico
wakati huo paulo alikwisha tambua kwamba sehemu moja ya wanabaraza wale ilikuwa ni masadukayo na nyingine mafarisayo. basi, alipaaza sauti yake mbele ya baraza: "ndugu zangu, mimi ni mfarisayo, mwana wa mfarisayo. mimi nimeletwa mahakamani kwa kuwa ninatumaini kwamba wafu watafufuka."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting