Results for resurgunt translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

resurgunt

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

nam si mortui non resurgunt neque christus resurrexi

Swahili

maana, ikiwa ni kweli kwamba wafu hawafufuki, basi naye kristo hakufufuka.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

sed dicet aliquis quomodo resurgunt mortui quali autem corpore veniun

Swahili

lakini mtu anaweza kuuliza: "wafu watafufuliwaje? watakuwa na mwili wa namna gani wakati watakapokuja tena?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

caeci vident claudi ambulant leprosi mundantur surdi audiunt mortui resurgunt pauperes evangelizantu

Swahili

vipofu wanaona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa na viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa na maskini wanahubiriwa habari njema.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

alioquin quid facient qui baptizantur pro mortuis si omnino mortui non resurgunt ut quid et baptizantur pro illi

Swahili

kama hakuna ufufuo, je watu wale wanaobatizwa kwa ajili ya wafu wanatumainia kupata nini? kama wafu hawafufuliwi, ya nini kubatizwa kwa ajili yao?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

si secundum hominem ad bestias pugnavi ephesi quid mihi prodest si mortui non resurgunt manducemus et bibamus cras enim moriemu

Swahili

kama kusudi langu lingalikuwa la kibinadamu tu, kule kupigana kwangu na wanyama wakali hapa efeso kungalinifaa kitu gani? kama wafu hawafufuki, basi, "tule na tunywe, maana kesho tutakufa."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et respondens dixit illis euntes nuntiate iohanni quae vidistis et audistis quia caeci vident claudi ambulant leprosi mundantur surdi audiunt mortui resurgunt pauperes evangelizantu

Swahili

basi, yesu akawajibu, "nendeni mkamwambie yohane yale mliyojionea na kuyasikia: vipofu wanaona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,794,257,117 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK