Results for salutate translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

salutate

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

salutate apellen probum in christ

Swahili

nisalimieni apele ambaye uaminifu wake kwa kristo umethibitishwa. salamu zangu kwa wote walio nyumbani mwa aristobulo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

intrantes autem in domum salutate ea

Swahili

mnapoingia nyumbani wasalimuni wenyeji wake.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

salutate fratres omnes in osculo sanct

Swahili

wasalimuni ndugu wote kwa ishara ya upendo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

salutate priscam et aquilam adiutores meos in christo ies

Swahili

salamu zangu ziwafikie priska na akula, wafanyakazi wenzangu katika utumishi wa kristo yesu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

salutate invicem in osculo sancto salutant vos sancti omne

Swahili

salimianeni kwa ishara ya upendo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

salutant vos fratres omnes salutate invicem in osculo sanct

Swahili

ndugu wote wanawasalimuni. nanyi salimianeni kwa ishara ya mapendo ya mungu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

salutate urbanum adiutorem nostrum in christo et stachyn dilectum meu

Swahili

salamu zangu zimfikie urbano, mfanyakazi mwenzangu katika utumishi wa kristo; salamu zangu pia kwa rafiki yangu staku.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

salutate invicem in osculo sancto salutant vos omnes ecclesiae christ

Swahili

salimianeni ninyi kwa ninyi kwa ishara ya upendo. salamu kwenu kutoka kwa makanisa yote ya kristo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

salutate asyncritum flegonta hermen patrobam hermam et qui cum eis sunt fratre

Swahili

nisalimieni asunkrito, flegoni, herme patroba, herma na ndugu wote walio pamoja nao.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et domesticam eorum ecclesiam salutate ephaenetum dilectum mihi qui est primitivus asiae in christ

Swahili

salamu zangu pia kwa kanisa linalokutana nyumbani kwao. salamu zangu zimfikie rafiki yangu epaineto ambaye ni kwa kwanza katika mkoa wa asia kumwamini kristo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

salutate filologum et iuliam nereum et sororem eius et olympiadem et omnes qui cum eis sunt sancto

Swahili

nisalimieni filologo na yulia, nerea na dada yake, na olumpa, pamoja na watu wote wa mungu walio pamoja nao.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

salutate tryfenam et tryfosam quae laborant in domino salutate persidam carissimam quae multum laboravit in domin

Swahili

nisalimieni trufena na trufosa wanaofanya kazi katika utumishi wa bwana, na rafiki yangu persi ambaye amefanya mengi kwa ajili ya bwana.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

salutate andronicum et iuniam cognatos et concaptivos meos qui sunt nobiles in apostolis qui et ante me fuerunt in christ

Swahili

salamu zangu kwa androniko na yunia, wananchi wenzangu waliofungwa gerezani pamoja nami; wao wanajulikana sana kati ya mitume; tena walikuwa wakristo kabla yangu mimi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,577,201 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK