Results for scientiam translation from Latin to Swahili

Latin

Translate

scientiam

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

semper discentes et numquam ad scientiam veritatis perveniente

Swahili

wanawake ambao wanajaribu daima kujifunza lakini hawawezi kuufikia ujuzi wa huo ukweli.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

ad dandam scientiam salutis plebi eius in remissionem peccatorum eoru

Swahili

kuwatangazia watu kwamba wataokolewa kwa kuondolewa dhambi zao.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

de his autem quae idolis sacrificantur scimus quia omnes scientiam habemus scientia inflat caritas vero aedifica

Swahili

yahusu sasa vyakula vilivyotambikiwa sanamu: tunajua kwamba sisi sote tuna ujuzi, lakini ujuzi huo huwafanya watu wawe na majivuno; lakini mapendo hujenga.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et omnem altitudinem extollentem se adversus scientiam dei et in captivitatem redigentes omnem intellectum in obsequium christ

Swahili

na kubomoa kila kizuizi cha majivuno kilichowekwa kuipinga elimu ya mungu; tunaziteka fikira zote na kuzifanya zimtii kristo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

si enim quis viderit eum qui habet scientiam in idolio recumbentem nonne conscientia eius cum sit infirma aedificabitur ad manducandum idolothyt

Swahili

maana, mtu ambaye dhamiri yake ni dhaifu, akikuona wewe mwenye ujuzi unakula vyakula hivyo ndani ya hekalu la sanamu, je, hatatiwa moyo wa kula vyakula vilivyotambikiwa sanamu?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

viri similiter cohabitantes secundum scientiam quasi infirmiori vaso muliebri inpertientes honorem tamquam et coheredibus gratiae vitae uti ne inpediantur orationes vestra

Swahili

kadhalika nanyi waume, katika kuishi na wake zenu mnapaswa kutambua kwamba wao ni dhaifu na hivyo muwatendee kwa heshima; maana nao pia watapokea pamoja nanyi zawadi ya uzima anayowapeni mungu. hapo ndipo sala zenu hazitakataliwa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et si habuero prophetiam et noverim mysteria omnia et omnem scientiam et habuero omnem fidem ita ut montes transferam caritatem autem non habuero nihil su

Swahili

tena, naweza kuwa na kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu, nikafahamu siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si kitu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,939,609,782 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK