Results for servi sunt translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

servi sunt

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

cum enim servi essetis peccati liberi fuistis iustitia

Swahili

mlipokuwa watumwa wa dhambi, mlikuwa huru mbali na uadilifu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

liberati autem a peccato servi facti estis iustitia

Swahili

mlikombolewa kutoka utumwa wa dhambi, mkawa watumwa wa uadilifu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et recordatae sunt verborum eiu

Swahili

hapo wanawake wakayakumbuka maneno yake,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et egressi servi eius in vias congregaverunt omnes quos invenerunt malos et bonos et impletae sunt nuptiae discumbentiu

Swahili

wale watumishi wakatoka, wakaenda njiani, wakawaleta watu wote, wabaya na wema. nyumba ya arusi ikajaa wageni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

misertus autem dominus servi illius dimisit eum et debitum dimisit e

Swahili

yule bwana alimwonea huruma, akamsamehe lile deni, akamwacha aende zake.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

in hac enim testimonium consecuti sunt sene

Swahili

maana wazee wa kale walipata kibali cha mungu kwa sababu ya imani yao.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

iam autem eo descendente servi occurrerunt ei et nuntiaverunt dicentes quia filius eius vivere

Swahili

alipokuwa bado njiani, watumishi wake walikutana naye, wakamwambia kwamba mwanawe alikuwa mzima.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et ait illis inimicus homo hoc fecit servi autem dixerunt ei vis imus et colligimus e

Swahili

yeye akawajibu, adui ndiye aliyefanya hivyo. basi, watumishi wake wakamwuliza, je, unataka twende tukayang'oe

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dices ergo fracti sunt rami ut ego insera

Swahili

lakini utasema: "matawi yalikatwa kusudi mimi nipandikizwe mahali pake."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

a quibus quidam aberrantes conversi sunt in vaniloquiu

Swahili

watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

alii autem inridentes dicebant quia musto pleni sunt ist

Swahili

lakini wengine wakawadhihaki wakisema, "watu hawa wamelewa divai mpya!"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

accedentes autem servi patris familias dixerunt ei domine nonne bonum semen seminasti in agro tuo unde ergo habet zizani

Swahili

watumishi wa yule mwenye shamba wakamwendea, wakamwambia, mheshimiwa, bila shaka ulipanda mbegu nzuri katika shamba lako. sasa magugu yametoka wapi?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

beati quorum remissae sunt iniquitates et quorum tecta sunt peccat

Swahili

"heri wale waliosamehewa makosa yao ambao makosa yao yamefutwa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et ecce sunt novissimi qui erunt primi et sunt primi qui erunt novissim

Swahili

naam, wale walio wa mwisho watakuwa wa kwanza; na wale walio wa kwanza watakuwa wa mwisho."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,793,980,410 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK