Results for sinite translation from Latin to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

respondit iesus dixi vobis quia ego sum si ergo me quaeritis sinite hos abir

Swahili

yesu akawaambia, "nimekwisha waambieni kwamba mimi ndiye. basi, kama mnanitafuta mimi, waacheni hawa waende zao."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

respondens autem iesus ait sinite usque huc et cum tetigisset auriculam eius sanavit eu

Swahili

hapo, yesu akasema, "acha! hii inatosha." akaligusa sikio la mtu huyo akaliponya.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

iesus autem dixit sinite eam quid illi molesti estis bonum opus operata est in m

Swahili

lakini yesu akawaambia, "mwacheni; kwa nini mnamsumbua? amenitendea jambo jema.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

iesus vero ait eis sinite parvulos et nolite eos prohibere ad me venire talium est enim regnum caeloru

Swahili

yesu akasema, "waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie; maana ufalme wa mbinguni ni wa watu walio kama watoto hawa."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

sinite illos caeci sunt duces caecorum caecus autem si caeco ducatum praestet ambo in foveam cadun

Swahili

waacheni wenyewe! wao ni vipofu, viongozi wa vipofu; na kipofu akimwongoza kipofu, wote wawili hutumbukia shimoni."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

iesus autem convocans illos dixit sinite pueros venire ad me et nolite eos vetare talium est enim regnum de

Swahili

lakini yesu akawaita kwake akisema: "waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana ufalme wa mungu ni kwa ajili ya watu kama hawa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

currens autem unus et implens spongiam aceto circumponensque calamo potum dabat ei dicens sinite videamus si veniat helias ad deponendum eu

Swahili

mtu mmoja akakimbia, akachovya sifongo katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe akisema, "hebu tuone kama eliya atakuja kumteremsha msalabani!"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et statim prodiit qui fuerat mortuus ligatus pedes et manus institis et facies illius sudario erat ligata dicit iesus eis solvite eum et sinite abir

Swahili

huyo aliyekuwa amekufa akatoka nje, huku amefungwa sanda miguu na mikono, na uso wake umefunikwa. yesu akawaambia, "mfungueni, mkamwache aende zake."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

sinite utraque crescere usque ad messem et in tempore messis dicam messoribus colligite primum zizania et alligate ea fasciculos ad conburendum triticum autem congregate in horreum meu

Swahili

acheni vikue pamoja mpaka wakati wa mavuno. wakati huo nitawaambia wavunaji: kusanyeni kwanza magugu mkayafunge mafungumafungu ya kuchomwa. lakini ngano ikusanyeni mkaiweke ghalani mwangu."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,899,421,698 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK