From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
semper et ubique suscipimus optime felix cum omni gratiarum action
tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani nyingi kwako kila mahali.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et tempora quidem huius ignorantiae despiciens deus nunc adnuntiat hominibus ut omnes ubique paenitentiam agan
mungu alifanya kama kwamba haoni nyakati zile watu walipokuwa wajinga. lakini sasa, anaamuru watu wote kila mahali watubu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
rogamus autem a te audire quae sentis nam de secta hac notum est nobis quia ubique ei contradicitu
lakini tunafikiri inafaa tusikie kutoka kwako mwenyewe mambo yaliyo kichwani mwako. kwa maana tujualo sisi kuhusu hicho kikundi ni kwamba kinapingwa kila mahali."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ideo misi ad vos timotheum qui est filius meus carissimus et fidelis in domino qui vos commonefaciat vias meas quae sunt in christo sicut ubique in omni ecclesia doce
ndiyo maana nimemtuma timetheo kwenu. yeye ni mtoto wangu mpenzi na mwaminifu katika bwana. atawakumbusheni njia ninayofuata katika kuishi maisha ya kikristo; njia ninayofundisha kila mahali katika makanisa yote.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
viri israhelitae adiuvate hic est homo qui adversus populum et legem et locum hunc omnes ubique docens insuper et gentiles induxit in templum et violavit sanctum locum istu
wakipiga kelele: "wananchi wa israeli, msaada, msaada! huyu ndiye yule mtu anayewafundisha watu kila mahali mambo yanayopinga watu wa israeli, yanayopinga sheria ya mose na mahali hapa patakatifu. hata sasa amewaingiza watu wa mataifa mengine hekaluni na kupatia najisi mahali hapa patakatifu."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting