Results for vocabitur translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

vocabitur

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

ad quem dictum est quia in isaac vocabitur tibi seme

Swahili

ingawa mungu alikuwa amemwambia: "wazawa wako watatokana na isaka."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et respondens mater eius dixit nequaquam sed vocabitur iohanne

Swahili

lakini mama yake akasema, "la, sivyo, bali ataitwa yohane."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

neque quia semen sunt abrahae omnes filii sed in isaac vocabitur tibi seme

Swahili

wala, si wazawa wote wa abrahamu ni watoto wake wa kweli. ila, kama yasemavyo maandiko matakatifu: "wazao wake watatokana na isaka."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

hic erit magnus et filius altissimi vocabitur et dabit illi dominus deus sedem david patris eiu

Swahili

yeye atakuwa mkuu na ataitwa mwana wa mungu mkuu. bwana mungu atampa kiti cha mfalme daudi, babu yake.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et dicit eis scriptum est domus mea domus orationis vocabitur vos autem fecistis eam speluncam latronu

Swahili

akawaambia, "imeandikwa katika maandiko matakatifu: nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala. lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et docebat dicens eis non scriptum est quia domus mea domus orationis vocabitur omnibus gentibus vos autem fecistis eam speluncam latronu

Swahili

kisha akawafundisha, "imeandikwa: nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa ajili ya mataifa yote! lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi!"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et respondens angelus dixit ei spiritus sanctus superveniet in te et virtus altissimi obumbrabit tibi ideoque et quod nascetur sanctum vocabitur filius de

Swahili

malaika akamjibu, "roho mtakatifu atakushukia, na uwezo wake mungu mkuu utakujia kama kivuli; kwa sababu hiyo, mtoto atakayezaliwa ataitwa mtakatifu, mwana wa mungu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

qui ergo solverit unum de mandatis istis minimis et docuerit sic homines minimus vocabitur in regno caelorum qui autem fecerit et docuerit hic magnus vocabitur in regno caeloru

Swahili

basi, yeyote atakayevunja hata amri moja ndogo kuliko zote, na kuwafundisha wengine wafanye hivyo, huyo atakuwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbiguni. lakini yule atakayezishika na kuwafundisha wengine, huyo atakuwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,776,847,211 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK