Results for hristovo translation from Serbian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Serbian

Swahili

Info

Serbian

hristovo

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Serbian

Swahili

Info

Serbian

a vi ste telo hristovo, i udi medju sobom.

Swahili

basi, ninyi nyote ni mwili wa kristo; kila mmoja wenu ni kiungo cha mwili huo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

a gospod da upravi srca vaša na ljubav božiju i na trpljenje hristovo.

Swahili

bwana aiongoze mioyo yenu katika upendo wa mungu na katika uvumilivu tunaopewa na kristo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

koje nije drugo, samo što neki smetaju vas, i hoæe da izvrnu jevandjelje hristovo.

Swahili

lakini hakuna "habari njema" nyingine. ukweli ni kwamba wako watu wanaowavurugeni, watu wanaotaka kuipotosha habari njema ya kristo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Serbian

meni najmanjem od svih svetih dade se ova blagodat da objavim medju neznabošcima neiskazano bogatstvo hristovo,

Swahili

mimi ni mdogo kuliko watu wote wa mungu; lakini amenijalia neema yake, ili niwahubirie watu wa mataifa utajiri wake kristo usiopimika,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

a kad dodjoh u troadu da propovedam jevandjelje hristovo, i otvoriše mi se vrata u gospodu,

Swahili

nilipofika troa kuhubiri habari njema ya kristo, nilikuta mlango u wazi kwa ajili ya kazi ya bwana.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

predvidevši govori za vaskrsenje hristovo da se ne ostavi duša njegova u paklu, ni telo njegovo vide truljenje.

Swahili

daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa na mungu na hivyo akasema juu ya ufufuo wa kristo wakati aliposema: hakuachwa kuzimu, mwili wake haukuoza.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

tako smo mi poslani mesto hrista, kao da bog govori kroz nas; molimo vas u ime hristovo pomirite se s bogom.

Swahili

basi, sisi tunamwakilisha kristo, naye mungu mwenyewe anatutumia sisi kuwasihi ninyi. tunawaombeni kwa niaba ya kristo, mpatanishwe na mungu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

kakva mi je dakle plata? da propovedajuæi jevandjelje uèinim bez plate jevandjelje hristovo, da ne èinim po svojoj vlasti u propovedanju jevandjelja.

Swahili

mshahara wangu ni kitu gani, basi? mshahara wangu ni fursa ya kuihubiri habari njema bure, bila kudai haki ninazostahili kwa kuihubiri.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

ako bivate ukoreni za ime hristovo, blago vama! jer duh slave i boga poèiva na vama: oni dakle hule na nj, a vi ga proslavljate.

Swahili

heri yenu ikiwa mnatukanwa kwa sababu ya jina la kristo; jambo hilo lamaanisha kwamba roho mtukufu, yaani roho wa mungu, anakaa juu yetu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,776,257,230 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK