Ask Google

Results for interneta translation from Serbian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Serbian

Swahili

Info

Serbian

Pridružite nam se u održavanju slobodnog i otvorenog interneta.

Swahili

Ungana nasi kuufanya Mtandao wa intaneti kuwa huru na wazi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

Deklaracija o slobodi interneta _BAR_ Globalni Glasovi na srpskom

Swahili

Tamko la Uhuru wa Mtandao wa Intaneti

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

Kako političke odluke korporacija i vlada utiču na korisnike Interneta?

Swahili

Namna gani maamuzi ya kisera ya mashirika makubwa na serikali yanawaathiri watumiaji wa intaneti?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

Ukoliko želite da potpišete peticiju, posetite sajt Zaštita Slobodnog Interneta Svugde u Svetu.

Swahili

Ili kutia saini kwenye wito huu wa utetezi, tembelea tovuti ya Linda Uhuru wa Intaneti Ulimwenguni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

Kao što su mnogi primetili, svet se nalazi u ključnom trenutku kada je u pitanju sloboda interneta.

Swahili

Kama ambavyo wengi wamebaini, ulimwengu uko katika wakati tete linapokuja suala la uhuru wa mtandaoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

Otvorena za prijavljivanje pojedincima ili građanskim organizacijama, izjava o Zaštititi Slobodnog Interneta Svugde u Svetu glasi:

Swahili

Utetezi huu uko wazi kutiwa saini na mtu mmojammoja au asasi ya kiraia, kauli hii ya Linda Uhuru wa Intaneti Ulimwenguni inasomeka kama ifuatavyo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

Pozivamo organizacije civilnog društva i građane iz svih naroda da potpišu sledeću izjavu o Zaštititi Slobodnog Interneta Svugde u Svetu:

Swahili

Tunatoa wito kwa asasi za kiraia na wanaharakati wa mtandaoni kutoka mataifa yote kutia saini kwenye Kauli hii ya Linda Uhuru wa Intaneti Ulimwenguni:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

Projekat Prevođenja: Peticija za Zaštititu Slobodnog Interneta Svugde u Svetu _BAR_ Globalni Glasovi na srpskom

Swahili

Mradi wa Tafsiri: Kauli ya Linda Uhuru wa Intaneti Ulimwenguni

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

U mnogim zemljama širom sveta, stvaraju se novi zakoni o cenzuri interneta, a blogeri su sve više u opasnosti ako se oglase.

Swahili

Katika nchi nyingi duniani kote, sheria mpya zimeendelea kuundwa kwa malengo ya kudhibiti mtandao, wakati huo huo wanablogu wakizidi kuwa katika hatari kwa kupaza sauti zao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

Izgleda da Kina realizuje svoj san da postane snažna država, međutim, građani interneta su prilično skeptični povodom ove vesti zbog neravnomerne raspodele bogatstva.

Swahili

Inaoneka kuwa China imefanikisha ndoto yake ya kuwa taifa imara, hata hivyo, raia wa kwenye mtandao wamekuwa na mashaka kuhusu taarifa hiyo kwa sababu ya mgawanyo wa utajiri usio sawa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

Izveštaj Posetilaca Interneta: Etiopija Puca Zbog Slobode Izražavanja , 30 april 2014 Šest Članova , 25 april 2014 Tekst koji sledi:

Swahili

Taarifa ya Watumiaji wa Mtandao: Ethiopia Yaminya Uhuru wa Maoni, Aprili 30, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

Dok još uvek traju debate o riziku i efektivnosti pilule za jutro posle u okviru medicinske zajednice , mnogi korisnici interneta u Južnoj Koreji su izrazili neslaganje sa navedenim promenama.

Swahili

Wakati bado kukiwa na mijadala endelevukuhusiana na madhara na manufaa ya njia hii ya dharura ya kuzuia mimba miongoni mwa watabibu, watumiaji wengi wa mtandao wa intaneti wa Korea wamekwishaonesha kutoridhishwa na mabadiliko haya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

Kroz ovu online kampanju, želimo da upoznamo i podstaknemo korisnike Interneta koji dele njihov jezik na Twitteru s posebnim naglaskom na jezike starosedelaca, ugrožene jezike i jezike manjina, koji možda nisu toliko zastupljeni na Internetu.

Swahili

Kwa kupitia kampeni hii ya mtandaoni, tunahitaji kuwatambua na kuwahamasisha watumiaji wa mtandao wa intaneti wanaotumia lugha zao za asili kwenye mtandao wa Twita hususani kwenye lugha za wenyeji, zilizo kwenye hatari ya kutoweka na zinazozungumzwa na watu wachache, zote zikiwa hazijawakilishwa ipasavyo mtandaoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

Manje će nas zanimati tehnička analiza ili generalne priče, a ono što nas interesuje to su snažni načini da se objasne mnogi izazovi kada su u pitanju prava na slobodno izražavanje i privatnost na mreži, tako da bilo koji aktivni korisnik Interneta može da ih razume.

Swahili

Hatutafuti sana uchambuzi wa kitaalamu au tafiti za kina na badala yake tunaangalia maelezo yanayoshawishi kuhusu changamoto za haki ya uhuru wa kujieleza na faragha ya mtandaoni, katika namna ambayo kila mtumiaji wa mtandao wa intaneti anaweza kuyaelewa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

Neke vlade predlažu da se proširi snaga upravljanja koju ITU poseduje na Internetu, a sve to na način koji može ugroziti otvorenost Interneta i inovacije, povećati troškove pristupa, i narušiti prava ljudi online.

Swahili

Kuna serikali zinazofikiri kupendekeza kupanua mamlaka ya ITU ili isimamie utawala wa Intaneti kwa njia ambazo pengine zitatishia uhuru na ubunifu katika kutumia Intaneti, huenda hatua hiyo itaongeza gharama za kutumia huduma, na hata pengine kumomonyoa haki za watu za mtandaoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

U narednih sedam dana, volonteri Jezika Globalnih Glasova će prevoditi javnu online peticiju koja podržava zaštitu ljudskih prava online i poziva vladine članice Međunarodne Unije za Telekomunikacije (ITU) da sačuva otvorenost Interneta na predstojećoj konferenciji ITU-a.

Swahili

Katika siku saba zijazo, Wafasiri wa Kujitolea wa Mradi wa Lingua wa taasisi ya Global Voices watakuwa wakitafsiri makala maalumu ambayo ni harakati ya utetezi unaofanywa na umma mtandaoni na ambao unasaidia kulinda haki za watu kwenye mitandao ya intaneti na kuzitaka serikali zilizo wanachama wa Muungano wa Kimataifa wa Mawasiliano ya Simu (International Telecommunication Union — ITU) kutunza matumizi huru ya Intaneti katika mkutano mkuu ujao wa ITU.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK